Kigogo wa NRM Agro Limited na wenzie 10; Mahakamani kwa makosa ya dawa za kulevya

Ukizidisha uhuni na starehe kwa sana lazima utatumia madawa at some point

Wengi sana wameshaonja madawa kwenye maisha yao ya uhuni ila wengine miili yao imegomea hayo madawa, wengine wanatumia ila hawana addiction ila ni watumiaji au walishatumia wao wenyewe wakaacha

Tatizo la madawa ya kulevya na pombe ni addiction
 
Amesema watanzania waliokamatwa ni Riziki Abdallah Shawej (40), Andrew Athanas Nyembe (34), Mariam Shaban Mgatila (40), Ramadhan Sanze Said (57) na Godwin Melchory Maffikiri (40).
Sisi Wagalatia kwa kuiga tu fani za wengine sijui tukoje? Halafu tunapendaga kuiga baadaye tunakuwa ma master hata kuliko watangulizi.

hydroxo Tanganian

adriz de mbusii
 
Miezi km 2 icd moja hv jina kapuni,watu walitia timu kwenye ukaguzi wa kontena
Likafunguliwa watu wakachukua chao wakasepa,according to agent aliyoona ule mchezo alinambia ,issue ilipangiliwa vzr sana watu wakasepa ,si unajuwa kuna kontena zingine zikija watu wanachangia kwa pamoja

Sasa,hapo agent maskini ya mungu hajuwi lile wala lile unaoenda kichwakichwa

Ova
 
Lyimo tangu wakati ule akiwa dso kahama hakuwaga mtu wa mchezo mchezo. Namkubali.
 
Scanner haitambui content ya substance ila inatambua umbo kwamba huu ni unga, hizi ni chenga, hiki ni kitu kama kitanda. Scanner si ni kama picha tena hafifu, ukionyeshwa picha ya unga utajua huu ni wa mahindi au muhogo?
At least wewe umeongea kitu kina make sense.
 
Ilo la kwenda kunywa chai halifanyi mzigo usipite scanner. Labda uniambie mbinu nyingine maana mzigo usipoonekana kwenye system kuwa haujapita scanner hauwezi kupita getini.
Watu wakija na mizigo yao walikuwa wanapitaje customs????

Achana na scanner nk

Ova
 
Halaf wauza ngada wote wana life style ya kufanana, hawakosi show off na kujikweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…