King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kigogo yupo smart ni jeshi la mtu mmoja ,halafu hauwezi kumuingia kirahisi rahisi yaani kigogo ni dakika mbili zipo mbele dakika sifuri anakuparua hata kama alikuwa msela wako twita.Kigogo anaonekana ni introvert. Siyo mtu mwenye kundi kubwa la watu.
Kina Chahali, Goodluck haule wite inaonekana huwa wanamfuta inbox kumpelekeza.
Wote kawachana na haelewani nao.
Ukijiona unagombana na kila mtu jua wewe ni zero kabisa na unatatizoSentensi yako ni tata kijana. Ina maana zaidi ya moja.
Alafu kuna kundi la mazezeta unalolitembelea kila siku una uhusiano gani nalo?
Sema uchambuzi wa jamaa nimeupenda sana ROBERT HERIEL hongera sana. Ni mwandishi mzuri na makala nzuri piaSasa maelezo mengi hayo yote ya nini
WEWE NDO MAANA ULIPIGWA RISASI MPUUZI.Huyo Ni Kama lissu
anavyoeleza Ni wale wale
Sisi tumekaa hapa tunakula bata hii comment inatusaidia nini?
Kabisa kigogo ni Muislamu anawapoteza maboya kwa kujiita shemasi na kusema anaingia kanisani.Kigogo yuko ndan ya hii hii nchi na ni mtu mkubwa tu serekalin pengne bado yuko kwenye system au hata kama alishatoka bas anaijua serekal vzuri sana had ikulu anaijua nje ndani na masuala ya din pengine ni muislam lakn anatumia mbinu ya kujidao mkristo ili kumvuruga adui anae muwinda, anaweza kujidai yuko nje ya nchi lakn zot ni mbinu tu ile accnt iko actve sawa na masaa yetu huku EA, na Mara chache sana ndo inakua actve had night hizo pengne ni mbinu zake tu za kumvuruga adui, na hata kma yuko nje ya nchi lakn bado kuna mtu wake ambae ndo mtoa taarifa na yuko ndan ya serekal had Sasa.
Sema uchambuzi wa jamaa nimeupenda sana ROBERT HERIEL hongera sana. Ni mwandishi mzuri na makala nzuri pia
kazi gani,uanwinda teuzi ama?Nataka unipigie simu, wenye kazi nayo wanajua maana yake, mbona hujaniuliza kwa nini nimeandika haya?
Mkuu umesoma vizuri uzi wangu?
siku akija kujulikana watu hawatoamini kabisa,kuna post alikua anazipost kipindi cha kuaga mwili wa the late JPM ni balaaMkuu mimi sio mchoraji hata wa katuni, ningekuwa mchoraji ningemchora
Jamaa bwana nimemshangaa Sana in short anamgusa February ila huko kwengine kajifanya kuzunguka tu ili ahamishe magoriTaarabu nyingi mara miaka 39-49, mara ananyoa kipara, mara et ama saut nyepesi ila sio nzito!!!
Hivi fasihi inakuwa nyepesi kiasi hiki hata mtoto wa kidato cha pili anaielewa[emoji3], Sasa umeshindwa nini kutaja jina as long as umetaja tabia halisi za uliyemficha??
Anyway wewe ni tai..... Ni tai..... ??
Mkuu, mi nafikiri kunasehemu ya serikali inayomuhitaji ili kupata taarifa ambazo zinapita nyuma yao. Ile serikali inayosimamia haki haina shida naye ila ile inayofanya mambo ya ubadhirifu ndo inashida naye maana anawaharibia ulaji.Serikali haipo serious kabisa.
Kigogo si wakuwahangaisha kama wapo serious
Ngoja wataftane wao ndani yaoMkuu, mi nafikiri kunasehemu ya serikali inayomuhitaji ili kupata taarifa ambazo zinapita nyuma yao. Ile serikali inayosimamia haki haina shida naye ila ile inayofanya mambo ya ubadhirifu ndo inashida naye maana anawaharibia ulaji.