Kigoma: Shule ya Mvinza Kagerankanda haina Madarasa na Madawati. Waandikia Majivu
Halafu bilioni 7.5 wapewe wakenya kiulaini kwa kisingizio cha kushinda tenda, nchi ngumu hii...
 
viongozi wako busy ku entertain mambo ya kijinga sana , shithole country
 
Hili tatizo lipo mingi kabla Samia hajaingia. Hata yule shetani wa Chato alikuwa akigawa hela barabara nzima Dar mpaka chato bila shaka zingesaidia kumaliza hilo tatizo
Ebu ngoja nitafute picha ya kusindikizia hii comment
 
Mwalimu anaumia kuona watoto wanakaa chini, anapiga picha ya darasa, amri inakuja akamatwe kwa sababu Samia anaupiga mwingi. Anaambiwa ametunga hadithi. Sasa haya nayo ni hadithi? Kisingizio Samia hana kosa ila watendaji wake tu!
View attachment 2527171
Pesa iliyotumika kujenga daraja la Busisi ingeweza kumaliza tatizo hili kabisa
 
Mama anafanya kazi kubwa mapungufu machache hayaondoi ukwel kuwa kwenye sekta ya Elimu amefanya extraordinary.

Sasa mambo mengine ni ya serikali za mitaa utauliza mkurugenzi wa eneo hilo anafanya nn Hadi saiv
 
Mama anafanya kazi kubwa mapungufu machache hayaondoi ukwel kuwa kwenye sekta ya Elimu amefanya extraordinary
Sasa mambo mengine ni ya serikali za mitaa utauliza mkurugenzi wa eneo hilo anafanya nn Hadi saiv
Duh_ we jamaa adi uku upo pia. hahahaha
 
Nakumbuka mbali sana kipindi hicho miaka ya 90's nasoma dah..
 
Mwalimu anaumia kuona watoto wanakaa chini, anapiga picha ya darasa, amri inakuja akamatwe kwa sababu Samia anaupiga mwingi. Anaambiwa ametunga hadithi. Sasa haya nayo ni hadithi? Kisingizio Samia hana kosa ila watendaji wake tu!
View attachment 2527171
Rais Samia anatoa TZS 15,000,000 kuwapa watu (wachezaji wa Yanga SC) ili wakastarehe lakini watoto hawa hawa wa shule wanakaa na kuandikia chini..

Huu si ni uwendawazimu wa viongozi wetu ktk kufanya maamuzi?

Hii haikubaliki hata kidogo. Wananchi tukatae aina hii ya viongozi wajinga na WENYE maamuzi ya kijinga..
 
Hatuna muda na hivyo vitoto sisi, kwani vinatuhusu nini? Sisi tunajali royal tour tu. Bajeti ya royal tour tunayo
 
Inasikitisha sana Rais Samia kutumia 15m kuwatunza Yanga wakati watoto wetu wanakaa chini na wanafunzi hawana vyumba vya madarasa.

View attachment 2527238
Nadhan kuna pesa nying zinaliwa, miradi kadhaa pia wizi kibaya zaid hakuna anaewajibishwa! Ni vzr zaid tuangalie nyanja hiyo M15 ni pesa kdg ukilinganisha na upigaji wa B's
 
Back
Top Bottom