BakiliMuluzi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2022
- 1,578
- 2,353
rais gani? Kwani kuna rais huko nchi ya kusadikika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ,unae wakili?rais gani? Kwani kuna rais huko nchi ya kusadikika?
Acheni uchochezi,hiyo video clip ya mwaka gani...Inasikitisha sana Rais Samia kutumia 15m kuwatunza Yanga wakati watoto wetu wanakaa chini na wanafunzi hawana vyumba vya madarasa.
View attachment 2527238
Na pesa ya royo tua ingejenga Nini?Pesa iliyotumika kujenga daraja la Busisi ingeweza kumaliza tatizo hili kabisa
Masikio yameziba husikii?Acheni uchochezi,hiyo video clip ya mwaka gani...
Nimeipenda roho, utu, upendo, ucha Mungu, haki na kweli ya mwenyekiti na kamati yakeMwalimu anaumia kuona watoto wanakaa chini, anapiga picha ya darasa, amri inakuja akamatwe kwa sababu Samia anaupiga mwingi. Anaambiwa ametunga hadithi. Sasa haya nayo ni hadithi? Kisingizio Samia hana kosa ila watendaji wake tu!
View attachment 2527171
Huna hoja zaidi ya ujingaMwalimu anaumia kuona watoto wanakaa chini, anapiga picha ya darasa, amri inakuja akamatwe kwa sababu Samia anaupiga mwingi. Anaambiwa ametunga hadithi. Sasa haya nayo ni hadithi? Kisingizio Samia hana kosa ila watendaji wake tu!
View attachment 2527171
Hakika Maza anaupiga mwingi hadi unamwagika. CCM oyeeeeeeeMwalimu anaumia kuona watoto wanakaa chini, anapiga picha ya darasa, amri inakuja akamatwe kwa sababu Samia anaupiga mwingi.
Anaambiwa ametunga hadithi. Sasa haya nayo ni hadithi? Kisingizio Samia hana kosa ila watendaji wake tu!
View attachment 2527171
Kabla hata ya royo tua hayo madarasa lile shetani lenu lilijengaNa pesa ya royo tua ingejenga Nini?
Bora hata daraja la busisi watu watavuka.
Zimetumika bilioni 7 za uma kutengeneza muvi ambayo haki miliki anayo mzungu.
Anauza anapiga hela.
Ikulu ya nchi imeingiliwa kiholela kisa kuigiza muvi
Hauvumiliki!!Tunataka uthibitisho kwa kutaja majina ya shule na wilaya ambazo hayo madarasa 8000+ yamejengwa kutokana na fedha za covid 19, mikopo na tozo.
Ufisadi huu hauvumiliki!
Wanatamba kuwa kuna ndege mpya 4 zinakuja, kumbe kipaumbele ni katika manunuzi makubwa ili waweze kupata percent zaoMwalimu anaumia kuona watoto wanakaa chini, anapiga picha ya darasa, amri inakuja akamatwe kwa sababu Samia anaupiga mwingi.
Anaambiwa ametunga hadithi. Sasa haya nayo ni hadithi? Kisingizio Samia hana kosa ila watendaji wake tu!
View attachment 2527171
Tutawafira!Hauvumiliki!!
Haya utatufanya nini sasa...
Mbele Kwa MbeleCCM NI ILE ILE