bandeko andeko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 1,080
- 2,143
haya hata si kumlaumu ssh, hizi taarifa za kuwa kila mtoto hakai chini au kutokuwepo kwa upungufu wa madarasa huwa zinawasilishwa na wakurugenzi, madas pamoja na maras ndiyo maana kama tunakumbuka mama kilango na ras wake walipigwa chini kwa kupika taarifa.