Kigoma: Shule ya Mvinza Kagerankanda haina Madarasa na Madawati. Waandikia Majivu
Halafu kuna mafisadi yanahimiza watu kulipa kodi huku yanatia kwenye matumbo yao badala ya kuboresha mazingira ya elimu ya watoto wetu.
 
Huku hali hiyo,kule,kule dereva wa dalala wanagoma,huku mabaka wanataka dare zao wanaanzisha msako,

Sio kwa bahati mbaya ni calculated movement!!
 
Back
Top Bottom