haya hata si kumlaumu ssh, hizi taarifa za kuwa kila mtoto hakai chini au kutokuwepo kwa upungufu wa madarasa huwa zinawasilishwa na wakurugenzi, madas pamoja na maras ndiyo maana kama tunakumbuka mama kilango na ras wake walipigwa chini kwa kupika taarifa.
 
Huko kagerankanda watu walipiga pesa sana miaka ya nyuma mbao pori za kupeleka kenya, lakini pia magogo ya miti pori ya kupeleka china, nilikua sijui kama hawana hata madawati,
 
Hatari kweli nchi yetu watoto hawana Vyumba vya kusomea ? Wanasoma nje tena kwenye mchanga? Loohh Majangaa kweli nchi yetu.


Your browser is not able to display this video.
 


 
JPM alikaa miaka mitano akaishia kuiba Hela anapeleka china
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…