Wao vibaka mbna wanajichukulia sheria mkononi wanaiba ,kujeruhi,na ata kuuaMastakiraja wewe hakimu wa mahakama gani? Hivi nchi hii kila mtu akijichukulia sheria mkononi kutakuwa na amani? Polisi, mahakama ,magereza wana kazi gani?
Kijana huyo anaitwa Jumanne Jongo.
Poleni wafiwawauaji hao wakiongozwa na mpumbavu mmoja anayeitwa Samwel?
Kwann unatak wahujumu uchumi wauwawe kwa sheria ipi??alafu vibaka ndo uwateteee??Nyinyi ropokeni tu...kaeni mkijua mnachofanya ni unyama wa Hali ya juu...unawezaje kumuua binadamu mwenzako kama unaua paka?
Kama mna hasira nendeni kuua wauza madawa ya kulevya,wala rushwa na wahujumu uchumi.
Wewe mama huyo mwanao kibaka alitoa wapi mamlaka ya udokozi toa ujinga wako hapa[emoji35]umekazana mamlaka mamlaka mamlaka ya konyoooChaliifransisco hao wahalifu sungusungu unaowatetea hawana mamlaka ya kuua hata kidogo...
Kazi yao kumkamata mhalifu na kumpeleka katika vyombo vya sheria...usitetee upumbabu...
Nchi yetu ya kistaarabu hatujafika hatua ya kuuana kama wanyama.
Kibaka wako kafa zaa mwingine mamaWanama siwatetei kwani sheria za nchi zimebadilika?
Hivi unaijua sheria?
Lady Mwali atasema alipata ajali ya bodaboda.Sura ya kibaka kabisa hiyo. Ata meno ya mbele hana.
Kama mtu anauza madawa na mimi situmii madawa naweza kusema hainihusu sana,kama mtu ni fisadi ila hajanifisidi mimi naweza kupotezea tu,mtu anayeitwa mgujumu uchumi hata sijui anafananaje! Ila kibaka mchoma visu na mpora mali huyu ananihusu 100% ntamuua hakika!!maana hata yeye akinipatia nafasi ataniua!! Kama una mwingine ambaye ni kibaka ningekuomba utusaidie kumuua nwenyewe! Kama huwezi basi sisi tuta muua,na tukishamuua utupe pole na pongezi,maana hata wewe wanaweza kukuua siku moja,japo nipo ghana/acra nimefarijika kujua kwamba kuna kibaka ameondolewa leo mtaani kwangu,ndugu zangu watakuwa na amani mno,na mimi pia.Nyinyi ropokeni tu...kaeni mkijua mnachofanya ni unyama wa Hali ya juu...unawezaje kumuua binadamu mwenzako kama unaua paka?
Kama mna hasira nendeni kuua wauza madawa ya kulevya,wala rushwa na wahujumu uchumi.
Haha kuna gereza liko bagamoyo la kibungoniPGO ya wahenga inasema "asiefunzwa na mama yake atafunzwa na sungusungu"
Kuna mauaji mengine ya vibaka wale sugu kuna baraka hutolewa kutoka juu,maana hakuna namna,watoto hawasiki watoto wajeuri jela hawaigopiVibaka ni watu wabaya sana lakini kama ameuawa kinyama washughulikiwe mara moja
Weak state inapelekea watu kujiamulia wenyewe maana serikali yao imefeli. Serikali imeshindwa kutulinda ikiwemo kutatua tatizo la vibaka ...sasa wananchi wameamua kudeal na hao wasumbufu mmoja mmoja. Kama ulivyoshauriwa waonye hao vijana mtaani kwako maana watamalizwa. Na hiyo mitaa yenu si ndo yenye panya road?? WataishaMastakiraka una hoja dhaifu sana.Sheria za nchi zinasemaje?
Hivi kila mtu aamue kujichukulia sheria mkononi itakuwaje?
Muhimili wa mahakama una kazi gani?
Kumbe ni kibaka mzoefu na amepata halali yake sasa huyu mama anamsumbua nini rais wakati Ana mambo ya msingi ya kufanya.samweli sungusungu wa mtaa wa mburahati na mfahamu vizuri maana mburahati kumezidi sana.
na huyu dogo ni hatari na mtoto wa mzee jongo
kuna mwenzake anaitwa elly kishoronga