Wanama
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 277
- 319
Wao vibaka mbna wanajichukulia sheria mkononi wanaiba ,kujeruhi,na ata kuuaMastakiraja wewe hakimu wa mahakama gani? Hivi nchi hii kila mtu akijichukulia sheria mkononi kutakuwa na amani? Polisi, mahakama ,magereza wana kazi gani?
Kwaiyo wao wanaruhusiwa kujichukulia sheria mkononi?
Sent using Jamii Forums mobile app