ibramy
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 642
- 967
Kwaiyo unataka kusemaje kuhusu hawa vibaka? Yani nimkamate ndani ya nyumba yangu nisubiri police serious?Bokilo,hiyo sheria ya nchi gani ya kuua vibaka? Jibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo unataka kusemaje kuhusu hawa vibaka? Yani nimkamate ndani ya nyumba yangu nisubiri police serious?Bokilo,hiyo sheria ya nchi gani ya kuua vibaka? Jibu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] polee mkuuPoleni.
Mimi nishavamiwa na vibaka mara tatu. Huwa nikiona watu wanamshughulikia kibaka nawaongezea na mafuta taa kabsa.
Vibaka walinipiga mabapa ya mgongoni home kwangu mpaka nikasanda. Usipowawahi wao hawana huruma.
Mnalea vibaka hatuishi kwa amani.
Kama yeye ambavyo hakutumia hivyo vifungu kukaba na wao wanatumia hivyo hivyo vifungu.Kama ni vibaka wauawe maana vijana wengi ambao ni vibaka huwa ni wazawa wakilindwa na wazazi wao pamoja na wazawa wenzao eneo husika.
Ni wasumbufu sana wauawe tu
Umevurugwa weweMsakuzi huru kama una hasira sana nenda kaue mafisadi waliokufanya uishi maisha mabovu, au nenda kaue wauzaji wakubwa wa madawa ya kulevya wanaoharibu vijana wa Tanzania.
Acha ujinga.
Unakataza kuua vibaka ila unaruhusu kuuawa wahujumu uchumi,wauza madawa ya kulevya...!!Nyinyi ropokeni tu...kaeni mkijua mnachofanya ni unyama wa Hali ya juu...unawezaje kumuua binadamu mwenzako kama unaua paka?
Kama mna hasira nendeni kuua wauza madawa ya kulevya,wala rushwa na wahujumu uchumi.
Heeee! Ya kujitoa ufahamu yanakujaje? Nimeuliza swali na si vinginevyo? Hiyo hoja dhaifu umeiona wapi?Mkulungwa1 hata kama alikuwa kibaka sheria ipi inaruhusu apewe adhabu kubwa kiasi hicho na wahalifu ambao si mahakama?
Usijitoe ufahamu...acha hoja dhaifu...
Watafute hao sungusungu uwapeleke jela sasaMastakiraka jaribu siku moja kuua mtu kisa amekupora simu yako.Ikiwa mtu huyo hana silaha.Jela inakuhusu.
Kwani vibaka wanatumia kifungu gani cha sheria kinachoruhusu kuiba? Mimi siungi mkono kuua vibaka, lakini kuna wakati mwingine jamii inachoshwa. Ukiona mtaani kila mtu anakunyooshea kidole wewe ni kibaka mara nyingi huwa ni kweli. Hakuna kifungu cha sheria kinachoruhusu kujichukulia sheria mkononi, lakini vile vile hakuna kifungu cha sheria kinachoruhusu kujichukulia mali za watu. Mara nyingine ushenzi unatakiwa kijibiwa kwa ushenzi, unyama unatakiwa ujibiwe kwa unyama. Yeye si alijuwa anajifanya mjanja kuwa hawawezi kumfanya chochote kwa sababu hawana ushahidi au hawajamkamata? Basi nao wamemuonyesha kuwa wanajua kuliko yeye.Nyinyi waropokaji bado hamjanipa kifungu cha sheria kinachoruhusu kujichukulia sheria mkononi....kwa akili zenu fupi nini kazi ya Polisi ,mahakama na magereza?
Hapo sidhani kama kuna kesi hapo. Jamii ikikukataa sidhani kama serikali inaweza kukutea.Watafute hao sungusungu uwapeleke jela sasa
USSR nionenye kifungu Cha sheria kinachosema adhabu ya kibaka kuuawa
Kwani vibaka wanatumia kifungu gani cha sheria kinachoruhusu kuiba? Mimi siungi mkono kuua vibaka, lakini kuna wakati mwingine jamii inachoshwa. Ukiona mtaani kila mtu anakunyooshea kidole wewe ni kibaka mara nyingi huwa ni kweli. Hakuna kifungu cha sheria kinachoruhusu kujichukulia sheria mkononi, lakini vile vile hakuna kifungu cha sheria kinachoruhusu kujichukulia mali za watu. Mara nyingine ushenzi unatakiwa kijibiwa kwa ushenzi, unyama unatakiwa ujibiwe kwa unyama. Yeye si alijuwa anajifanya mjanja kuwa hawawezi kumfanya chochote kwa sababu hawana ushahidi au hawajamkamata? Basi nao wamemuonyesha kuwa wanajua kuliko yeye.
Lady Mwali pole sana kwa msiba nakushauri zaa kibaka mwingine tupige tofari la kichwa mpaka akufe tena[emoji3578]
JE alikuwa ni mwizi???Hance nioneshe sheria inayoruhusu sungu sungu waue?
Kijana huyu aliuawa barabarani baada ya kupigiwa simu