Kijana ambaye hujaoa kamwe usifikirie kuoa

.Ndoa ni muhimu aisee..chagueni walio sahihi
Umeongea la maana, changamoto ni kumpata mdada alie sahihi, labda mwanaume ubahatike, au mwanaume ufunge na kuomba Mungu akupe mke mwema.

Wanawake wengi siku hizi wamekuwa na roho mbaya/ wameweka hela mbele (hii kauli ndugu yangu wa kike aliniambia) Bless mom Kelsea
 
Unahisi kwa nini wanawake wengi wametanguliza pesa mbele kuliko upendo??
 
Ndoa nyingi hazifanikiwi kwasababu mnakosea namna mnavyochagua wake zenu.

1. Watu wanaoa kwa kuangalia uzuri wa mwanamke badala ya Tabia.

2. Watu wengi hawapati muda mzuri wa kuifahamu familia na ukoo anaotoka mwanamke.

3. Kulazimisha kuoana na mtu ambaye hamuendani katika maeneo muhimu. Watu wanangalia ukwasi tu.
 
Unahisi kwa nini wanawake wengi wametanguliza pesa mbele kuliko upendo??
1) Wanaume wengi hatuna muonekano mzuri wa kushtua wanawake, wengi mionekano yetu mibovu au ya kawaida almost 80% of men fall in this category, wataalamu wa mapenzi wanasema on average, wanawake hawawapendi asilimia 80 ya wanaume wanaowaona.
2) Tamaa ya pesa
3)Ugumu wa maisha
4) Wanaume wengi tuna njaa ya ngono, wanaume tunaweza fanya almost chochote kwa ajili ya sex na wanawake wamechukulia iyo ni advantage
5) Previous relationship heartbreaks, mdada anaona bora adange Kelsea
 
We ukiona watu kama akina Dangote,Elon Musk,Jeff bezos,Trump,Billy get,Samia,Nyerere,Kikwete,Mkapa,Magufuli na wengine wengi pamoja umaarufu na utajiri walionao lakini ndoa ziliwasumbua jua fika Wanawake ni zaidi ya matatizo.

95% ya wanawake wanaingia kwenye ndoa kukidhi mahitaji yao ya kifedha,hawana upendo wowote juu yako,Issue ni ubahatike umpate aliye kwenye 5% ambapo ni kazi ngumu.

Binafsi simshauri mtu kuoa, hasara ni nyingi zaidi ya faida.tunza tu watoto wako na tafuta hela zitakuokoa ukiwa mzee.
 
Sasa mkuu ikiw

Hamna uhusiano wowote uliopo kati ya kutokuoa na upedede
Sasa mkuu ikiwa kila kijana wa kiume ataacha kuoa kwa sababu ulizoziainisha itakuwaje?
 
Ukweli mchungu,ila waoe tu,wakiingia kwenye ndoa wawe wanajua kitakachofuata ili waishi na wenza wao kwa akili...
 
Ni ajenda ya kuzimu kumpa nguvu mwanamke kisha wakasema usawa, ile 50/50 kwa jinsia zote.

Huku ni kwenda kinyume na makusudi ya Mungu.
 
Ngoja niweke kambi hapa, nikisubiri madini ya Natafuta Ajira na dronedrake 🙂
 
Huyu ndugu yako mpaka anasema hivyo ujue kashuhudia mashem wanapigwa na vitu vizito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…