Kijana ambaye hujaoa kamwe usifikirie kuoa

Nakuona unaelekea kupigwa tukio moja matata saaana ambalo litavuruga moyo wako, nafsi na roho kupitia huyo wa 97.
 

Inawezekana nilichoandika na nilichomaanisha ikawa tofauti!!

ok! Simama kama mwanaume, makubaliano ninayomaanisha hapo ni kuwataarifu.

Mfano; nimeamua kupeleka mtoto boarding school, namtaarifu huo uamuzi wa kumpeleka mtoto boarding school! Akileta hoja zake ndipo unampatia reasons, na si vinginevyo!!

Ukimpa mwanamke nafasi ya discussion toka mwanzo hutatoboa, mtaishia kulumbana kila leo!! Toa taarifa ASAP
 
Kwa hii situation nitakuambia usioe huyo mwanamke mwenye mtoto majuto yake ni mara mia zaido ya hao wa buku mbili wala bata ila kama unapenda amani zaa na mwanamke ambaye bado hajazalishwa alafu usiishi nae wewe tunza mtoto
 
Ni ajenda ya kuzimu kumpa nguvu mwanamke kisha wakasema usawa, ile 50/50 kwa jinsia zote.

Huku ni kwenda kinyume na makusudi ya Mungu.
Mungu hana 50% kwa 50%
Alimuweka mwanamke chini ya uongozi wa mwanaume
Hawa alipoenda mbali tu na mmewe ndo alipodanganywa

Alaf unakuta ni mtu wa fini na anashikilia haki sawa
Upuuzi na ushetani
 
Hapa mkuu ulipaswa kuianzishia thread kabisa.
 
Hakika Jf ni kisima cha maarifa, nipo hapa nasoma neno kwa hatua, hatua kwa hatua.
 
Tusipooa mkuu, nani atatufariji siku zetu za mwisho mwisho tukiwa hoi kitandani , huku kifo kikiwa karibu kabisa chini ya mvungu wa kitanda?
Nina uncle wangu, alipodhoofu tu kiafya mwanamke akasepa kwao na watoto, hali ikawa mbaya zaidi. Alipokuja kupata nafuu ya kiafya na uchumi umeanza kusimama mkewe akaanza kuomba msamaha warudiane akizingizia kwamba ni shetani tu alimpitia

Wanawake wa miaka ya leo wanapasua vichwa sana. Ndoa zimepoteza maana tena. Wamebaki wanawake wachache mno wanaojitambua na kuheshimu taasisi ndoa wakiwemo baadhi ya mama zetu waliotukuza kwa kushirikiana na baba zetu enzi hizo
 
hatari sana mdau. Tunaishi nyakati ngumu sana
 
Nakuona unaelekea kupigwa tukio moja matata saaana ambalo litavuruga moyo wako, nafsi na roho kupitia huyo wa 97.
Kwa hii situation nitakuambia usioe huyo mwanamke mwenye mtoto majuto yake ni mara mia zaido ya hao wa buku mbili wala bata ila kama unapenda amani zaa na mwanamke ambaye bado hajazalishwa alafu usiishi nae wewe tunza mtoto
Ni kweli mkuu hawa buku mbili wanatoa sana mimba ila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…