Kijana ambaye hujaoa kamwe usifikirie kuoa

Mwenye uzi huenda umefanyiziwa, ila ujue sio wote. Uliza wale wakongwe waliodumu kwenye ndoa wakupe ushauri. Ukifeli wakati wa uchumba utajutia.
Mimi kama kizazi cha 2000 naona kama afadhali ya vijana wa zamani maana sisi wasichana tunaokutana nao wanawaza kufuga kucha na kupeleka nguo washing machine ilhal uwezo Hawana kumiliki iphone na kupiga picha nzuri basi
 
Na wewe umeamini kabisa! 😂
 
Pesa ikiwepo au serikali ilivyotia mkono wake kwa prof mke anakuwa nawe bega kwa bega and vise versa is true
 
Umeibua hoja nzito Sana kwenye taasisi ya ndoa.


Team fagilia ndoa watakuja ku punch hoja zako moja baada ya Ingine 😊.

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Wanawake wajanja sana. Hapo watakusifia wewe ni gentleman, caring, understanding, n.k. Wakati moyoni wanakuona mjinga wa mwisho. 😂
 
Wewe ulilelewa katika mazingira ya mama kuzalishwa na kuwa mnaongea na baba kwa simu?
Wewe utakuwa KE na sio ME na kama ni ME utakuwa umelishwa Limbwata unatembea tu kama bwege bila kujijua wakati mama yako na wadogo zako wanalalamika Kaka mkubwa Kalogwa, huku majirani wanakung'onga tu.

Daaaa ila inasikitisha sana vijana wengi kwenye ndoa wamelogwa.
 
Aisee,
The same to me Maisha ya kuvunjika mguu nilikua natawazwa sijiwezi.

Tulikua side by side

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Kuna points hapa 👆🏻
 
Hiyo no. 12 inamhusu mke wangu hadi imefikia sehemu nimeona nikae kimaster
Bora wewe umeamua kukaa kimaster. Mie kilichoniokoa ni MBIO

Wanawake wengi wanaua ndoto za wanaume na kuua ile spirit ya upambanaji na kumbuka umri haukusubiri

Ila wapo wanawake wachache mno kama 20% wanaochachua mafanikio ya wanaume. Mungu awabariki sana hawa wanawake popote walipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…