Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

Kujichukulia sheria mkononi (mob-justice) ni uhalifu pia...hili halikubadiliki.
brazaj
 
Wezi wa siku hizi wapo smart Sana aisee, nakumbuka kuna dogo aliuwawa kwa kuchomwa moto na alikua smart ,ulikua ukimuona huwezi kumdhania aisee , kumbe dogo alikua mwizi Wa piki piki

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Namja uyo yan ata mm niliwa siamini kabisa kama yupe jamaa ni Jambazi vile

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Mwizi akija kwangu na panga lake, anakutana na revolver anakuwa mpole, ninawaita masela wanaenda kupumzika nae kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…