Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Wine,dompo ...nikichacha Serengeti liteKitu kizuri unapiga na maji ya gold
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wine,dompo ...nikichacha Serengeti liteKitu kizuri unapiga na maji ya gold
hakuna matata njoo mtaa wa tatuWine,dompo ...nikichacha Serengeti lite
Kaka mzuri eti mwiziUnamtambulisha Kwa wazazi...nimepata Mume! Kumbe mume wa konyo
Ndo Ivo wanajifichia Kwenye usmartKaka mzuri eti mwizi
Kuna story mdada alikuwa ana date na jamaa siku akaona habari kapigwa pingu kisa wizi wa pikipiki[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kaka mzuri eti mwizi
Yaan Mungu atusaidie. Wezi siku hizi wako smart huez hata wadhania.Kuna story mdada alikuwa ana date na jamaa siku akaona habari kapigwa pingu kisa wizi wa pikipiki[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pole yake.Waliondoka na gari, kama gari, hawana huruma hawa.
Kujichukulia sheria mkononi (mob-justice) ni uhalifu pia...hili halikubadiliki.Mara ya mwisho kuna mtu
aliniibia laki mbili na akagoma kurudisha nilipata hasira sana lakini hii video imenifanya nipate huruma.
Hapa Dar es salaam, kijana amechomwa moto huku raia wakimrekodi kwasababu amekuwa akiiba vifaa vya magari.
Picha na video zinatisha sana
View attachment 2388782
View attachment 2388786
Namja uyo yan ata mm niliwa siamini kabisa kama yupe jamaa ni Jambazi vileWezi wa siku hizi wapo smart Sana aisee, nakumbuka kuna dogo aliuwawa kwa kuchomwa moto na alikua smart ,ulikua ukimuona huwezi kumdhania aisee , kumbe dogo alikua mwizi Wa piki piki
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Mkuu naomba nitumie PM hyo clipKweli,yataka moyo kuiangalia laasivyo unaweza usile mishikaki kwa muda mrefu.
😆😆nimecheka kama mazurii Mungu atusaidie kwa kweli,Kuna mwizi mmoja mbagala alikatwa miguu na msumeno ,kuna watu wana roho ngumu aisee,,🙌
Bora ukatwe na shoka ila sio msumeno ..
Kizuiani kibaka aliiingizwa spoku ya baskel kwa penisKuna mwizi mmoja mbagala alikatwa miguu na msumeno ,kuna watu wana roho ngumu aisee,,[emoji119]
Bora ukatwe na shoka ila sio msumeno ..
😯😯alipona kweli?Kizuiani kibaka aliiingizwa spoku ya baskel kwa penis
PM kwangu pia nduguCheck inbox
Ni pm nduguAisee!! na Wananchi wanazidi kuuchochea moto uwake vizuri.
Ndugu nitumie pm aiseeKweli,yataka moyo kuiangalia laasivyo unaweza usile mishikaki kwa muda mrefu.
Ntumie mkuu nmekucheki pmNimeona ila haitishi sana nilitamani ifike hadi mwisho, wezi wabad sana mazee
Wanunuzi hasa ni kina nani.?Madereva wa Malori tuna kazi sana halafu "nyinyi tuma na ya kutolea"hata huruma hamna.