Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

Mara ya mwisho kuna mtu
aliniibia laki mbili na akagoma kurudisha nilipata hasira sana lakini hii video imenifanya nipate huruma.

Hapa Dar es salaam, kijana amechomwa moto huku raia wakimrekodi kwasababu amekuwa akiiba vifaa vya magari.

Picha na video zinatisha sana

View attachment 2388782

View attachment 2388786
Kujichukulia sheria mkononi (mob-justice) ni uhalifu pia...hili halikubadiliki.
brazaj
 
Wezi wa siku hizi wapo smart Sana aisee, nakumbuka kuna dogo aliuwawa kwa kuchomwa moto na alikua smart ,ulikua ukimuona huwezi kumdhania aisee , kumbe dogo alikua mwizi Wa piki piki

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Namja uyo yan ata mm niliwa siamini kabisa kama yupe jamaa ni Jambazi vile

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Mwizi akija kwangu na panga lake, anakutana na revolver anakuwa mpole, ninawaita masela wanaenda kupumzika nae kimya kimya.
giphy (3) (1).gif
 
Back
Top Bottom