Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

Pole yake kijana mwenzangu. Anaonekana bonge la mstaarabu kumbe jizi dah
 
mbna hii video n ya ck nyng na me nnay mkuu
 
Duh picha ya chini anaonekana handsome sanaaa ila kwa picha ya juu majivuu
RIP
 
Wezi wanaudhi sana ila ujasiri wa kuua mtu sinao. Labda kumpatia touches kadhaa za kumpa kumbukumbu.
 
Angle grinder😆namuonea huruma uyo mwizi atakayekuja kwako
 
Kaka mzuri anafaa kwa matumizi ya binadamu kumbe mwizi daah!!!
 
Bro Mbona mmempa adhabu rahisi hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…