Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

Mara ya mwisho kuna mtu
aliniibia laki mbili na akagoma kurudisha nilipata hasira sana lakini hii video imenifanya nipate huruma.

Hapa Dar es salaam, kijana amechomwa moto huku raia wakimrekodi kwasababu amekuwa akiiba vifaa vya magari.

Picha na video zinatisha sana

View attachment 2388782

View attachment 2388786
mbna hii video n ya ck nyng na me nnay mkuu
 
Duh picha ya chini anaonekana handsome sanaaa ila kwa picha ya juu majivuu
RIP
 
Kwa kweli huwa sina huruma na hao watu, home nina angle grinder, driller ile ya kucharge na cutter...

Hizo zana ni mahsusi kutolea adhabu kwa hawa fisi wakiingia mikononi mwa ulinzi shirikishi...

Wameiba sana TV na kuchomoa vitu kwenye magari hao mbwa...
Wezi wanaudhi sana ila ujasiri wa kuua mtu sinao. Labda kumpatia touches kadhaa za kumpa kumbukumbu.
 
Kwa kweli huwa sina huruma na hao watu, home nina angle grinder, driller ile ya kucharge na cutter...

Hizo zana ni mahsusi kutolea adhabu kwa hawa fisi wakiingia mikononi mwa ulinzi shirikishi...

Wameiba sana TV na kuchomoa vitu kwenye magari hao mbwa...
Angle grinder😆namuonea huruma uyo mwizi atakayekuja kwako
 
Sasa kitaa kuna mbwiga mmoja alikuwa anasumbua sana raia kwa kukata visambusa madirishani, siku zake 40 zilivyofika...

Watu walitafuta funnel (sijui kiswahili chake, ila ni kile kidude unatumia kujaza mafuta au kimiminika kwenye kidumu), akashikwa kwa nguvu, kile kidude kikawekwa mdomoni, akamiminiwa thinner lita moja tu...halafu akaachwa aende...

Sasa hivi huyo jamaa anaendelea na shughuli ya uporaji kuzimu huko...
Bro Mbona mmempa adhabu rahisi hivyo
 
Back
Top Bottom