Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Ukifanya hivyo watu watakurecord baada ya hapo utapambana na jamuhuri vizuri
Ushawahi kuibiwa vitu na hawa wangese?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukifanya hivyo watu watakurecord baada ya hapo utapambana na jamuhuri vizuri
Jamani hadi wadada mmekuwa wakatili hivyo?Nikikumbuka siku nimekoswa koswa kuchomwa kisu kisa simu tena kitochi kiukweli wezi sinaga huruma nao. Lini tu hapa wamevunja kwa jirani yangu wamesepa na kila kitu aisee wapigwe moto tu.
Akija huko kunakua hakuna ushahidi nikimaliza kazi nachimba shimo namfukia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787], huko hawawezi kuja.
Wale mbwa walitaka kuniua kisa kisimu cha elfu 25. Nasema wapigwe moto tu hakuna namna.Jamani hadi wadada mmekuwa wakatili hivyo?
Bado hajatuma naisubiri mkuuUlete mrejesho [emoji38]
Mkuu msamehe basi.🤣
Subiri atakutumia tuBado hajatuma naisubiri mkuu
mbna hii video n ya ck nyng na me nnay mkuuMara ya mwisho kuna mtu
aliniibia laki mbili na akagoma kurudisha nilipata hasira sana lakini hii video imenifanya nipate huruma.
Hapa Dar es salaam, kijana amechomwa moto huku raia wakimrekodi kwasababu amekuwa akiiba vifaa vya magari.
Picha na video zinatisha sana
View attachment 2388782
View attachment 2388786
Wezi wanaudhi sana ila ujasiri wa kuua mtu sinao. Labda kumpatia touches kadhaa za kumpa kumbukumbu.Kwa kweli huwa sina huruma na hao watu, home nina angle grinder, driller ile ya kucharge na cutter...
Hizo zana ni mahsusi kutolea adhabu kwa hawa fisi wakiingia mikononi mwa ulinzi shirikishi...
Wameiba sana TV na kuchomoa vitu kwenye magari hao mbwa...
Angle grinder😆namuonea huruma uyo mwizi atakayekuja kwakoKwa kweli huwa sina huruma na hao watu, home nina angle grinder, driller ile ya kucharge na cutter...
Hizo zana ni mahsusi kutolea adhabu kwa hawa fisi wakiingia mikononi mwa ulinzi shirikishi...
Wameiba sana TV na kuchomoa vitu kwenye magari hao mbwa...
lkn me video nnayo naomb kuuliza hilo tukio lmetkea lnKwenye huu uzi kuna video?
Wacha wachomwe shenzi zaoKweli kabisa, wiki jana, wamemuibia mdogo wangu, ki IST kake kikiwa kimepaki uwani, akiwa amekitumia wiki mbili tu toka akinunue.
Bro Mbona mmempa adhabu rahisi hivyoSasa kitaa kuna mbwiga mmoja alikuwa anasumbua sana raia kwa kukata visambusa madirishani, siku zake 40 zilivyofika...
Watu walitafuta funnel (sijui kiswahili chake, ila ni kile kidude unatumia kujaza mafuta au kimiminika kwenye kidumu), akashikwa kwa nguvu, kile kidude kikawekwa mdomoni, akamiminiwa thinner lita moja tu...halafu akaachwa aende...
Sasa hivi huyo jamaa anaendelea na shughuli ya uporaji kuzimu huko...