💯 kakosea kuropoka sababu ya kumuacha kazingua sanaa sanaaKosa alilolifanya Ni kumwambia( kuropoka) kwa Nini anaachana naye, angetafuta tu njia ya kuachana naye tu kiaina kwa ustaarabu bila binti kujua, Hata wazee wa zamani walikuwa wanafuatilia familia ya mtu mnaetaka Kuoana nae, Kama familia Ina changamoto walibadili maamuzi na ilisaidia Sana kuepusha changamoto mbalimbali.
Hakika. Hakuna anaye plan haya mambo hutokea tu bila kutegemea. Very sad. Nimemuonea huruma sana huyo bintiKama kakimbia kwaajili ya ulemavu hayupo sawa
Kabla hatujafa hua hatujaumbika tuishi kwa adabu sana na kuheshimu wengine hasa wenye kasoro
Pole sana chief.. how old is he/she?Unaweza ukapata mtoto mlemavu vyovyote vile iwavyo lkn ingawaje inauma sana asee
Nna mtoto mlemavu wa kulala tu asee changamoto ni nyingi sanaaaaaaaa
Kweli kabisa, Sababu ya kumuacha ni sahihi ila style ya kumuacha ndio kakosea ni bora hata angetengeneza mazingira binti amfumanie na mwanamke mwingine.Yah..kibinadamu haya mambo yanaumiza sana
.sasa lakin hajamfanyia fair huyo manzi kumwambia hayo, bora angempiga chin kidizain nyingine kwa kutafuta sababu tofauti kidogo. Hapo atamfanya huyo mtoto wa watu aqe na mawazo sana
Ukiachana tu changamoto za kumlea, naamini kama mzazi kila ukimtazama unajisikia uchungu sana kwakuona kwamba anateseka bila makosa.Pole sana mkuu, nakuelewa sana, mtoto mlemavu ana changamoto mno kumlea
Dah aisee mm sina la kusema zaidi ya kukupa pole.Ukiachana tu changamoto za kumlea, naamini kama mzazi kila ukimtazama unajisikia uchungu sana kwakuona kwamba anateseka bila makosa.
Mwaka jana mwanangu wa kiume wa 3 kuzaliwa, 5 years alipata changamoto ya mifupa ,serious bactrial infection kwenye mfupa mkubwa wa mguu karibu na goti. Ilikua ni ishu sana.. alikua halali usiku hospital kutwa kicha kakunja mguu analia sanaa .
Daktar alinambia kitaalam hapo maumiv anayoyasikia ni kama upigwe panga kwenye mguu.. aisee acha tu, mbaya zaid wakasema kuna uwezekana ikatokea eneo la maungio ya mifupa gotini ikaathirika na mguu ukashindwa kukua hivyo kubaki na mguu mfupi mmoja na kuwa mlemavu...
Aisee...usiku akilala mwanangu nilikua nikimtazama machozi yananitoka nalia peke yangu. 🥲🥲.
NIkawa namwambia Mungu naomba kama inawezekana hii hali ihamishie kwangu, mwanangu bado mdogo sana kwa haya maumivu.
It took us 4 months with alot of money mpaka dogo kuja kukaa sawaa.
Alikua anapigwa doz nzito za antibiotics kias kwamba leo hii hiv vi antibiotics vya kawaida akinywa anapoumwa kawaida tu, huwa ni kama havifanyi kazi.
Daktar alinambia it will take time mwil kurud sawa toka usugu wa madawa..
Kuwa mzazi ni kaz sana Mungu atusaidie wazaz na walez wotee.
Intelligent businessman we endelea tu kupiga selfie dogo 😂 haya mambo sidhan kama utayaweza
Pole sana mkuu,Ukiachana tu changamoto za kumlea, naamini kama mzazi kila ukimtazama unajisikia uchungu sana kwakuona kwamba anateseka bila makosa.
Mwaka jana mwanangu wa kiume wa 3 kuzaliwa, 5 years alipata changamoto ya mifupa ,serious bactrial infection kwenye mfupa mkubwa wa mguu karibu na goti. Ilikua ni ishu sana.. alikua halali usiku hospital kutwa kicha kakunja mguu analia sanaa .
Daktar alinambia kitaalam hapo maumiv anayoyasikia ni kama upigwe panga kwenye mguu.. aisee acha tu, mbaya zaid wakasema kuna uwezekana ikatokea eneo la maungio ya mifupa gotini ikaathirika na mguu ukashindwa kukua hivyo kubaki na mguu mfupi mmoja na kuwa mlemavu...
Aisee...usiku akilala mwanangu nilikua nikimtazama machozi yananitoka nalia peke yangu. 🥲🥲.
NIkawa namwambia Mungu naomba kama inawezekana hii hali ihamishie kwangu, mwanangu bado mdogo sana kwa haya maumivu.
It took us 4 months with alot of money mpaka dogo kuja kukaa sawaa.
Alikua anapigwa doz nzito za antibiotics kias kwamba leo hii hiv vi antibiotics vya kawaida akinywa anapoumwa kawaida tu, huwa ni kama havifanyi kazi.
Daktar alinambia it will take time mwil kurud sawa toka usugu wa madawa..
Kuwa mzazi ni kaz sana Mungu atusaidie wazaz na walez wotee.
Intelligent businessman we endelea tu kupiga selfie dogo 😂 haya mambo sidhan kama utayaweza
Pole mkuu, mama yake anaongea na kusikia vizuri?Dah,Mimi wangu ni bubu,ni mtihani!😥
Nadhani ilibidi umuulize kama upande wake na mke wake kuna hilo tatizo kwa familia walizotokea, mtu anaweza kuwa mzima kwenye familia nzima ila kumbe kabeba mbegu zenye ugonjwa anaweza kupata watoto wenye huo ugonjwa,Pole mkuu, mama yake anaongea na kusikia vizuri?
Yes,tena Ni bint ana 19yrsPole mkuu, mama yake anaongea na kusikia vizuri?
Nimemuuliza hivyo kwa sababu wanasema kama mama ni bubu anazaa mtoto bubu pia au kiziwi maana mtoto anaanza kujifunza kusikia na maneno tangu akiwa tumboni.Nadhani ilibidi umuulize kama upande wake na mke wake kuna hilo tatizo kwa familia walizotokea, mtu anaweza kuwa mzima kwenye familia nzima ila kumbe kabeba mbegu zenye ugonjwa anaweza kupata watoto wenye huo ugonjwa,
Pole mkuu Mungu amsaidie mtoto.Yes,tena Ni bint ana 19yrs
Pole Sana MUNGU akutie nguvu katika mapito yako.Unaweza ukapata mtoto mlemavu vyovyote vile iwavyo lkn ingawaje inauma sana asee
Nna mtoto mlemavu wa kulala tu asee changamoto ni nyingi sanaaaaaaaa
Kuna watoto wa viziwi na bubu wanaongea na kusikia fresh kabisa sababu masikio yanasikia na midomo inaweza kuongea,Nimemuuliza hivyo kwa sababu wanasema kama mama ni bubu anazaa mtoto bubu pia au kiziwi maana mtoto anaanza kujifunza kusikia na maneno tangu akiwa tumboni.
Mimi sio mtaalam ila nimewahi kusikia hiki kitu.
kwa mkeo kwenye familia yeo au za wazazi amekujuza kama walikuwapo wenye hayo matatizo ?Yes,tena Ni bint ana 19yrs
Sawa mkuu nimeelewaKuna watoto wa viziwi na bubu wanaongea na kusikia fresh kabisa sababu masikio yanasikia na midomo inaweza kuongea,
Ila nao wanaweza wakawa wazima ila wakarithishwa mbegu zenye hilo tatizo wakaja kupata watoto wenye matatizo
Anaweza amka kesho akawa kipofu au akaoata ulemavu wowote.Kama kakimbia kwaajili ya ulemavu hayupo sawa
Kabla hatujafa hua hatujaumbika tuishi kwa adabu sana na kuheshimu wengine hasa wenye kasoro