Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

Mi nawalaumu KATAA NDOA, kwa kampeni yao hiyo.
Kama wao wameumizwa na ndoa wakae kwa kutulia wasituharibie kizazi.
Hebu fikilia kizazi cha watoto wanazaliwa nje ya ndoa na kukosa malezi ya baba na mama ( familia).
Tutajikuta tunajenga kizazi cha hovyo sana tukiendekeza hawa kataa mdoa.
 
sawa tuna walakini, lakini kuoa hapana.

Uhamasishaji wa kuoa kwa ndoa una walakini ndani yake .

Mnataka kutuingiza chaka😁

Sijawahi kuona mtu humu akiwashtua wana kuna chimbo anapiga pesa , ili wana tuje zaidi ya forex ambayo tulihamasishwa kuna pesa za ku downloading ambapo ni utapeli .

Humu utasikia kijana okoka , kijana oa, kijana slim , maza fanta😜😜😜
 
Wakati unakataa ndoa...Sisi unatauacha na maswali labda mwenzetu umehamia upande wa pili View attachment 2879634
Mkuu Da’vinci,

Hakuna mtu aliyetoa hoja zenye mantiki mpaka sasa kwanini wanakataa ndoa.

Vijana wengi ni desperate sana, wengi ni fuata mkumbo na hakuna hata mmoja mwenye hoja zaidi ya ushabiki tu wa kijinga.
 
Mkuu kuhusu huo mstari alikuwa anawaasa watu wasifanye uzinzi, kama wanaweza wasioe ila kama hawawezi waoe.

Hawa kataa ndoa uzinzi wanafanya na wanakataa ndoa.
Nadhani pia ugumu wa maisha huchangia, huwezi kuwa "pro ndoa" kama kipato cha kutunza familia ni kidogo, vijana wengi sasa hawana ajira, hawana mitaji, usitegemee wao wazifurahie ndoa.

Akipata 10k anajua kuna malaya wa 3k atanunua na kukidhi ashki zake. Hivyo tusiwalaumu sana, uchumi umeyumba kwa wengi.
 
Ume Tisha kamanda🙏💪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…