Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

Toka huko nyuma mambo yalishakosewa na walio vunja mifumo dume ,ambayo iliilinda ndoa.

Hizi unazoziona ni matokeo tu ya waliokataa kuishi kwenye ndoa za kitapeli .
 
Absolutely right, Kaka you nailed it πŸ’ͺ
 
Mkuu min,

Yaani mpaka sasa hakuna mtu mwenye pointi niliona majibu yako nikasema ngoja tu nikuache. Kama kuna mtu ana hoja za mantiki kwanini anakataa ndoa mtafute umlete hapa.

Tutaelewana tu taratibu.
Kwa sasa zinaweza zisiwe na maana na ni hoja za hovyo kwako kwasababu .

Upo kwenye ndoa changa kwanza ndio penzi jipya ila siku yakikufika utajua tuna maanisha kitu gan.
 
Kwa sasa zinaweza zisiwe na maana na ni hoja za hovyo kwako kwasababu .

Upo kwenye ndoa changa kwanza ndio penzi jipya ila siku yakikufika utajua tuna maanisha kitu gan.
Mkuu min,

Mimi nishamfumania mpenzi wangu akiwa na mwanaume kitandani.
Hayo maumivu nilishayapitia kabla ya kupata mke wangu wa sasa.

Unafikir kutokuoa ndio unakwepa matatizo?
 
Mnataka kuoa kwa aina gani? Si, ndoa bali kuwekana ndani tu?

Kuhusu deals zipo humu naona zinawekwa ila tatizo mnataka pesa za haraka,zile deals umepatiwa leo kesho unataka kwenye account uwe na 10,000USD chaap au uwe King man kwa muda mfupi.
Hata hizo deals mnazoziwaza si rahisi mtu kukupatia kirahisi namna hiyo ni sawa na kujianika wazi wazi.

Hatuwapotezi bali tamaa zinawafanya mpate wenza ambao wanafanya ndoa muione chungu/ambao hawako tayari kwa ndoa,shida na taabu si kiapo cha lele mama.
Pia si kila changamoto itakayokupelekea ujutie/uiogope ndoa inasababishwa na mwanamke,inaweza kusababishwa na mwanaume na kwakuwa akili inaruka muda wote mnajikuta kila mtu anamtupia mpira mwenzi wake na mambo mengi tu na vile wewe hujaoa basi mnaishia kulishana maneno ya kuona ndoa ni haram.
Swali,
Ukipata deal utaoa kijana?πŸ˜…
 
Aise yaani vijana sisi ni tatizo sana.
Hakuna mtu mwenye hoja mpaka sasa
Tukianza na dronedrake hajawahi kuwa na hoja zaidi ya yeye kuendelea ku enjoy na mke wake huku akipotosha umma.
 
Unaweza kuishi bila ngono? Kama unaweza usioe, ila kama huwezi utakuwa mzinzi/muasherati, Mungu hataki uzinzi so hoja yako haina mashiko. You have misinterpreted the word of God.
Kila siku humu watu wanasema mwanaume hawezi kuridhika na mwanamke mmoja, maana yake hata kwenye ndoa lazima mwanaume agonge nje, sasa hapo ndoa imezuia vipi uzinzi/uasherati?
 
Aise yaani vijana sisi ni tatizo sana.
Hakuna mtu mwenye hoja mpaka sasa
Tukianza na dronedrake hajawahi kuwa na hoja zaidi ya yeye kuendelea ku enjoy na mke wake huku akipotosha umma.
sina mke, na hoja bwana Heriel alishawahi ziweka hapa na akapiga kwenye mshono na hakuna KE aliyechangia positively zaidi ya kumtukana
uzi siukumbuki, ana nyuzi nyingi
 
Ukipata deal utaoa?
Ili swali unaweza muuliza pia dangote au Elon musk ?? Kama watakujibu wataoa ata mimi nitaoa mkuu.
 
Kweli mkuu. Tatizo ni kipato sizani kama kuna mtu yuko well financially ataona tabu kuishi na mtu mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…