Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #81
I will never bet my life, on a human being ๐๐ค.I can bet my life on it, sisi ni wa kuzikana. Amini nakwambia!
Nitarudi amu biziHalf american na adriz Maine sema siku sema.
If she is really worth it, then usi jiulize.Nimekupata bwana intelligent businessman, kwahiyo unaniambia nisimuoe shemeji yako Lovie Lady kweli?๐ค
Jamaa anajipambanua kwenye mitandao kuwa ameandika historia kizazi hiki kuwa anakojoa mahali pazuri. Hivi hizi ni akili kweli au ujinga?๐Jamaa anapiga mradi mzuri sana yaan anawapangua na huyo tunampa siku kadhaa tu atavurugana nae kashakunja viwanja kadhaa na maokoto km yote kweli mjini mishe mishe TU daah sijui nakwama wapi huu wa Manara ni mradi kabisa Ila IPO siku watu watachoka
Bizi ndo nini ๐, au ndo nyuki๐คNitarudi amu bizi
Manara ni kyande๐๐คฃJamaa anajipambanua kwenye mitandao kuwa ameandika historia kizazi hiki kuwa anakojoa mahali pazuri. Hivi hizi ni akili kweli au ujinga?๐
Mimi ndio namjua, nasema ambacho nina uhakika nacho.I will never bet my life, on a human being ๐๐ค.
๐Be carefully, kukiamini kiumbe chenye manyoya mwili mzima ๐คฃ๐๐
Uko sahihi Kaka, tena hiki kizazi Cha I phone na Samsung ๐๐คฃKijana Intelligent businessman haya mambo ni magumu sana kwa hii dunia yetu na hiki kizazi cha 1990's majanga ni mengi mnooo lakini wacha tuendelee kuderee
Siwez soma bandiko refuBizi ndo nini ๐, au ndo nyuki๐ค
Kwa huo unene Kwa wote wawili, style muafaka ni mtihaniMwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke.
Kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilikufa kwa sababu ya wanawake, na kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilisonga na kufanikiwa kwa sababu ya wanawake. Mpaka leo sijaoa, sijaoa kwa sababu sijaona sababu ya kufanya hivyo kwanza.
Naona ndoa nyingi zikianguka, naona ndoa nyingi zikiingia kwenye umasikini, naona mambo makubwa na ya kutisha sana kwenye ndo, mambo ambayo mtu yanakupa hofu ya kutaka kufanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa.
Nawaona watu wengi waliokuwa na ndoto kubwa wakizipoteza baada ya kuoa, nawaona watu wakiharibikiwa maisha yao baada ya kuingia kwenye ndoa. Nawaona wanandoa wanaofanikiwa ni wachache kuliko wanaoanguka na kupoteza misingi ya ndoto zao.
Mimi sio Muislamu, mimi si Mkristo, nitakapooa, no turning back. Nikimpa mwanamke ambaye hana ndoto kubwa, nini kitatokea endapo nitamshikirisha na kumwambia ndoto zangu? Ataniona mjinga fulani ninayekaribia kuchanganyikiwa ama ataniona mtu mwenye akili.
Siku Nikipata mpenzi, nitajiuliza, huyu mwanamke ataweza kuishi na mwanaume mwenye bilioni kumi kwenye akaunti? Je, anaweza kuzifanya zile bilioni kumi ziwe ishirini ama hamsini? Huwa ninawaza mambo mengi sana ambayo mwisho wa siku nasikia sauti ikiniambia โSubiriโ.
Siku ukiwa huna je atakuwa na wewe au ndo itakuwa ndo Safari ya kwenda?!,
Jifunze kuchagua kitu sahihi kwako, mtu ambaye mna weza kwenda speed moja.
View attachment 2880640
Nipo nasikiliza wimbo hapaMwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke.

A career is more worth than nothing, though familia ni muhimu.Naona unataka kuwa bussy na utajiri ila bado una wasiwasi wa ndoa.. Vizuri kupambania career yako .
ms machomuulize anahitaji mke wa aina gani?
Vipi tna chief uko na maswahibu gnAcha kuongelea story za hao viumbe๐ฅฒ
Your absolutely right bro๐Kataa ndoa
It's a scam!
We learned to read people like bookHamna mtu ana jua undani was mtu, ila ni yeye mwenyewe.
๐Watu Wana badilika, ila good luck teacher Nifah