Kijana kuwa makini, mahusiano ni kama pepo au jehanamu yako


We jamaa sijui unawaza nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We jamaa sijui unawaza nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna ubaya?😅

Ukiingia ukweni or wakwe wakifika kuwasalimia make sure your hands got a good grip on that booty

Wakiwa wanawasindikiza/mnawasindikiza kutoka ndani ya nyumba peleka mkono kwa tako moja shikilia vizuri ikiwezekana binya binya"kiwizi wizi"

Uone kama mama mkwe hatouliza kupitia simu maswali ya uchokozi kukuhusu.🤣

Sikufundishi uhuni lakini...
 
Leo ndo unajua presence ya neno maisha ni kusaidiana🤒.
👉How many times nime kuaproach, bro nipe hata ulinzi🤒.
🤣
Sasa kijana,ulinzi wa aina gani?

Ulinishauri nifike gym kuondoa hii pakacha hapa mbele,tena ulinikashifu kwa maneno ya ajabu na kuniambia niweke mwili safi,si ulinzi tosha?au unataka vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…