Kijana Mmoja ameomba Sparring na mimi,kiukweli nimefurahi mno kwasababu nataka nimuonyeshe kwanini niliitwa UMUGHAKA

Utamuharibu kabisa anavyoonekana kwa muandiko tuu ni mtu softy...
 
Mwenzio kajinyonga kisa kuachwa ,achana na mambo ya kijijini kupigana ni ushamba .

Bado una akili za kijijini kwenu .
 
Sasa unapambana vipi na kimvuli? Mtu hata humjui anakusumbua eti mkutane mpigane…sasa ukienda ukachomwa visu? Huo ndio naita ni wehu na kuwehuka watu hata hamjuani mnagombana vipi?……..Mnaumwa nyie….
Dogo ameharibika sana siku zinavyozidi kwenda ndo anadhirisha alipata athari kubwa sana.
 
Huu uzi bila screen shot ya text uliyomtumia PM ni batili.
 
Hivi ni mwanaume au mwanamke? Ile ID stories zake ni za kike kike, umbea sana n.k
Hance kama cocastic nikimaanisha stori wanazopenda kasoro moja tu.

Hance anapenda sana stori za gigy money, harmonize, kwa kifupi vtu vya umbea umbea pitia nyuz zake zote utaona.

Kwa kusema ni kijana anayezidi 25 sina hakika,
Kama ni ID. Ya kiume nitashangaa sana maana wanaopenda stori za vile wanaume mara nyingi ni wale wanalipwa
 
Ooooh.... Aiseee... Huwa nashangaa sana. Kumbe ndo wale wale... Wamekuwa wengi sana.
 
Alianza comrade NALIA NGWENA huyu alifika mpk banana kwenye viwanja vya airwings pambano halikufanyika.

Leo tunasikia kuhusu UMUGHAKA na Hance Mtanashati .Hili pambano litakuwa bora kwa wakat wote mnatak ufadhili gan msipewe humu.

Kuna thread moja humu walisema kuna watu walikutana wakazchapa il mmoja akatumia rungu lililosababisha mwengne kukimbia.

Nawaomba tu hii ni fist fight pambano liwe fair.
 
Vizuri sana.

Nakukaribisha kwa mikono miwili.

Jumamosi jioni tukutane.
 
Ukisikia Wakurya wanavyotamba utafikiri Wana nguvu. Ukiwatisha kidogo tu wanakimbilia visu. Basi Kuna mmoja akajichanganya kwangu nipo baa na K Vant ziishanipanda hapa Jijini Mwanza, nikampa jabs za kutosha akakaa chini eti akaanza kusema " kumbe Wahaya mna nguvu...!" Pumbavu!!!
 
Mwanamke tu huyu hasumbui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…