Kijana Mmoja ameomba Sparring na mimi,kiukweli nimefurahi mno kwasababu nataka nimuonyeshe kwanini niliitwa UMUGHAKA

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣UMEYATIMBA bwege wewe nakusubiri kwa hamu kesho
 
Tata!! Wachape [emoji1787]. Wasikimbie kama yule mwingine. Naomba mualiko nije kusimamia kipengele cha hakuna kuachanishwa hadi mhusika apige magoti na kukiri maji yamezidi unga.

Dispute zinakuwa solved kiume, mnakutana kama hivi, waache wasaniii wapigizane kelele ktk maneno.

Knuckle Up.
 
Alidhani maisha ni rahisi hivyo. If it is too good to be true its not true
 
Napenda kutazama ndondi za mtaani...
Rigged haipo humo. Real fight,streeet itafunza adabu.

Ktk nyimbo ya Torati ya Mtaa , FidQ anasema

" Usipigane pale utapoona haushindi
Au simama upambane, uwabane mtaani usionekane pimbi.
Ugomvi wa mtaani mpaka mawe yanahusika
Ili wapagawe, usichachawe we yagawe kiuhakika
Wachachawe kabisa, wainawe hii vita, mawe ukiyashika
Ili nawe ukipita pawe na sifa mawe yanatishaaa....."

Kijana achagua moja
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Chanzo cha ugomvi ni nini
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]imekaa poa hii.
 
Umeona wapi wakurya wanajua kupigana?
Hawa wanachotegemea silaha tu na tagi ,na uzuri kutoka huko bado hasumbui

Kamekuja inbox na mkuu mkuu nyingi, yani kanatingisha kibiriti .

Sasa kajaa huyu bwege ,atafurahi na show
Kampige drip! Hizi trash talk zisiwepo jukwani tena. Nimekuwa interested sana na hii fight
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…