Kijana Mmoja ameomba Sparring na mimi,kiukweli nimefurahi mno kwasababu nataka nimuonyeshe kwanini niliitwa UMUGHAKA

Kijana Mmoja ameomba Sparring na mimi,kiukweli nimefurahi mno kwasababu nataka nimuonyeshe kwanini niliitwa UMUGHAKA

Wewe Mwanamke Hance Mtanashati Kesho nimehairisha rasmi kwenda Kanisani kwa ajili yako Kibhombo wewe!

Tuma hiyo Hela ya Mafuta nijaze wese kabisa niwe tayari na unipe maelekezo wapi pa kuonana,mimi hata ukitaka iwe kwenu wewe sema nitakuja hadi kwenu!

Usiende PM nasubiri majibu hapa!

Kwasababu umegoma leo na kesho nikasema naenda kanisani ukadhani nakukimbia,sasa kesho kanisani nimeahirisha kwenda,nasubiri majibu!

Namba nishakutumia maana ulidhani nitashindwa kukutumia namba!

ACHA BLAH BLAH NASUBIRI MAJIBU!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣UMEYATIMBA bwege wewe nakusubiri kwa hamu kesho
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!


Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kukuongoza kijana Hance Mtanashati kwa kuomba kufanya Sparring na mimi,haya ndiyo mambo nipendayo UMUGHAKA

Nimewahi kumuomba ndugu yako Sparring lakini akaingia mitini na kuendelea kunitukana!.

Nashukuru sana kwa wewe kuwa jasiri na kutaka Sparring na mimi!.

Nimekutumia sms pm (Inbox) kama ulivyotaka na maelezo yote nimeweka hapo lakini naona kimya!

Kama itawezekana naomba iwe kesho kabla ya jua kuzama maana mwenzio ni Msabato,kama ikishindikana kesho basi tafuta muda na siku utakayoona inafaa!

Ukitaka wawepo mashahidi kadhaa kutoka hapa JF itakuwa vema lakini pia ukitaka tuwe sisi wawili nadhani itakuwa vema zaidi ili mmoja akichakaa amkimbie mwenzie,asiwepo wa kutuachanisha.

Nimekutumia sms pm nasubiri majibu!
Tata!! Wachape [emoji1787]. Wasikimbie kama yule mwingine. Naomba mualiko nije kusimamia kipengele cha hakuna kuachanishwa hadi mhusika apige magoti na kukiri maji yamezidi unga.

Dispute zinakuwa solved kiume, mnakutana kama hivi, waache wasaniii wapigizane kelele ktk maneno.

Knuckle Up.
 
Hahaaaa mimi kuna mmoja yupo rombo huko akawa ananitukana na kuzuga yupo Sudan. Nikatengeneza ID nyingine yenye jina la kike. Nikamfuata Inbox, dogo akanipa namba yake. Hahaaaa nikamwambia mimi fulani nimetengeneza hii ID ili nikushughulikie. Hahaaaa, dogo akaomba msamaha.
Alidhani maisha ni rahisi hivyo. If it is too good to be true its not true
 
Napenda kutazama ndondi za mtaani...
Rigged haipo humo. Real fight,streeet itafunza adabu.

Ktk nyimbo ya Torati ya Mtaa , FidQ anasema

" Usipigane pale utapoona haushindi
Au simama upambane, uwabane mtaani usionekane pimbi.
Ugomvi wa mtaani mpaka mawe yanahusika
Ili wapagawe, usichachawe we yagawe kiuhakika
Wachachawe kabisa, wainawe hii vita, mawe ukiyashika
Ili nawe ukipita pawe na sifa mawe yanatishaaa....."

Kijana achagua moja
 
Mm nakujua wewe ni mtu Mpole kwa nn mpigane vitasa mkuu. Au kuchoka kimaisha, maana kama una mambo mengi na schedules zako hauwez upange mpigane vitasa njiani. Kwahiyo mnachaguaga ndani ya vituo vya mwendokazlsi??

Mm nakumbuka niliogana vitasa na kinda wa daladala ya bunju kawe. Tulikwenda kuamuliwa kawe kituo cha polisi. Nilimsingizia kutaka kunibaka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Chanzo cha ugomvi ni nini
 
Hahaaaa mimi kuna mmoja yupo rombo huko akawa ananitukana na kuzuga yupo Sudan. Nikatengeneza ID nyingine yenye jina la kike. Nikamfuata Inbox, dogo akanipa namba yake. Hahaaaa nikamwambia mimi fulani nimetengeneza hii ID ili nikushughulikie. Hahaaaa, dogo akaomba msamaha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]imekaa poa hii.
 
Umeona wapi wakurya wanajua kupigana?
Hawa wanachotegemea silaha tu na tagi ,na uzuri kutoka huko bado hasumbui

Kamekuja inbox na mkuu mkuu nyingi, yani kanatingisha kibiriti .

Sasa kajaa huyu bwege ,atafurahi na show
Kampige drip! Hizi trash talk zisiwepo jukwani tena. Nimekuwa interested sana na hii fight
 
Back
Top Bottom