Kijana, talaka ukiwa na Umri zaidi ya miaka 40 ni kukosa maturity


😂😂😂😂
 
Hili swali lako hasa ndio linatoa jibu kwa nini ukiona mtu ana divorce umri huo muache tu. Kwa sababu hata huyo mhusika anakuwa amejiuliza hilo swali karibu mara 50, kama baada ya kujiuliza bado ameamua kuachana na mwenza wake we mwache tu
Kuna mmojq ame divorce ata 54 , alipoulizwa kwanini anasema sitak mwanamke kiburi
Tukamwambia miaka yote hukujua ana kiburi

Jamaa kwa sasa akitaka kuona watoto anawapigia simu wanakutana restaurant
Sasa maisha gani hayo

Seems mwanamke ana ego na mwanaume ana ego
 
Kama ni mke wako kialali, kwa sasa hivi huwezi kuuza nyumba au kiwanja bila consent ya mwenza

Ardhi hawatoi hicho kibali

Lazima both present physically unless mmoja wenu afoji hadi death certificate na kwa sasa ni ngumu kufanya hivo
Zamani ilikuwa rahisi kuuza kwa kufoji doc
 
Ulibip mwenzio akafanya kweli.
 

Ni story ya kweli.
kuuza ni hati ya serikali ya mitaa.

na mke aliondoka ila baada ya mwez akarudi . Jamaa kaomba msamaha. Kampa mke 5 Mill.
Kiwanja kiliuzwa 30 mill.

Mke karidhia na kiwanja kishaanza ujenzi.

Sasa hio sio hoja.hoja je Mwanamke angeomba talaka?.
 
Niliacha mke na miaka 46 sasa Nina miaka 56, ni uamuzi Bora kuliko uamuzi wowote niliodanya.

Mambo yote yanavumilika, mwanamke:

1. Unayempenda
2. Unamtunza
3. Unamlisha

Akitoka nje ya ndoa hata kama unamiaka 99, usipoweza vumilia na ukakaa kwa Mateso, ondoka haraka!
 
Watu wana miaka 55/60 na wanaachana wewe unashangaa miaka 40.
Bila shaka bado hujajua changamoto na complications za ndoa unafikiri ndoa ni kama kwenda picnic.
Ukishajifunza utakuja kuelewa kwa nini watu wanaachana
Kuna viumbe wanajua Ndoa ni muhimu kuliko Amani Yao ya moyo
Alaaniwe aliyesema Ndoa ni Pingu ya maisha
 
Naungana na wewe ; mwanamke wako wakishaanza kumgonga immediately ni kumuacha upo sahihi maana hata hiyo familia bora unayoitaka haiwezi kuwa bora tena

Mwanamke akishaanza kuvuliwa nje hata usalama wa familia yako unakuwa compromised , you are no longer safe

Mwanamke akitoka nje na ukathibitisha basi ni straightforward red card . Huhitaji hata kwenda kanisani au msikiti kusuluisha ,waste of time manaa for a woman , once a cheater always a cheater

Hata aje Mungu kusuluhisha huyo Mwanamke hafai tena kuwa nae

Mwanamke asamehewe makosa yote but kugongana nje no excuse …… straight forward red card

Pole , bado nasisitiza vetting ni muhimu . Kuna women hata iweje will never cheat
Hawa ni wale ambao wamelelewa katika misingi ya utimamu na wengi huwa ni intellectual
 
Nadhani haya maswali unatakiwa umuulize mtoa mada
 
Mtu una mtoto mkubwa yupo chuo unakaa kwa mchepuko umetelekeza familia ya watoto wanne umejibana na mwanamke wa nje.Ni aibu ambayo sijawahi ona yaani watoto hawahitaji hata kuambiwa

Pia kumbuka watoto wanatunza kumbumbuku make sure unachofanya utegemee nini.
 
Miaka 40+ bado unamuita kijana?
 
Vipi yeye mwanaume akitoka nje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…