KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,118
- 40,850
Ungese Wako nini unataka hapaKijana ambao tunaitafuta 40 na wale ambao wapo kuanzia 40 ..na tayari upo kwenye ndoa au unaishi na mwanamke kama familia na mna watoto jifunze kuelewa kwamba age kama hiyo kufanya divorce ni kukosa ukomavu wa akili .
Taarifa za RITA zinaonesha divorce ya vijana imekuwa kubwa hii inatafsiri vijana hawana maturity na waliingia kwenye familia bila utimam wa akili
Una kuta mtu ana 50 halaf ana divorce !!!! age kama hii Una divorce nini , unaenda wapi ,kuna matatizo mengi ya mental issue kwa vijana wa 40 to 50 hawa ndio wana rate kubwa ya divorce
! Siku hizi watoto wengi ni mayatima hali ya kuwa wazazi wapo dunia bado , what a shame
Watoto wanalelewa na wababa na wamama tofauti hali ya kuwa wazazi wao wapo hai
Mtoto anapanga kuonana na baba au mama yake restaurant kisa wazaz waliachana ….… What a shame
psychologically development ya mtoto inakuwa effective endapo anakuja home na kuwaona wazaz wote wawili
Age kama hizo unatakiwa kuandaa uzao wako uwe bora , wewe unaenda kudivorce ili iweje na watoto wakalelewe na nani ?
Vijana wa 40 plus muelewe kuwa family comes first na mjifunze kuelewa umuhimu wa watoto wanaoishi na wazaz wote
40 years ni age of wisdom and maturity ; ukiacha at this age , kuna chances una afya ya akili na haujui kuwa una afya ya akili
Ego pia ni afya ya akili
Wewe unajulikana huna uwezo wa kuhudumia pisi kali za kuoa ndio maana unaita chai, acha wenye uwezo tujadiliChai
Utakuwa 18 weweMkuu Kijana gani ana umri wa miaka kati ya 40-50? 🤔
-Kwenye hatarisho la kufa?Haifai katika umri wowote
Ukishindwa kazi lazima usaidiwe Mzee, ko tulia hivyo hivyoHaiishi BM sema ni kulinda brand na kuepuka Magonjwa.
Inatakiwa ilinganishweje?Haipaswi kulinganishwa kwa namna hiyo
Yeah sasa si ndiyo tuna break up(Natoa talaka) ili akasuguliwe vizuri kwa TANI yake.Ukishindwa kazi lazima usaidiwe Mzee, ko tulia hivyo hivyo
Binti kiziwi Vipi wewe ushawahi kukubali mapungufu ya watu wa Gender Yako??Ni watu wachache wenye ukomavu wa akili tu ndio wanaoweza kukiri mapungufu ya gender zao.
Moja sio kweli kuwa matatizo ni yale Yale Mwanadamu amebadilika sana kutokana na maendeleo ya Teknologia na Utandawazi Kuna Vitu Katika Jamii vimeongezeka.Mi huwa nawaambia watu matatizo ya ndoa ni yale yale tangu zilipoanzishwa hizo ndoa,tusipretend kuwa ndoa zimeanza kusumbua kizazi hiki, tofauti ni kwamba wanawake wa kizazi hiki uvumilivu wa kuvumilia ujinga umepungua kwa kwa asilimia karibu 80.
Ndio, labda haujawahi kuniona nikifanya hivyo.Binti kiziwi Vipi wewe ushawahi kukubali mapungufu ya watu wa Gender Yako??
Nilishasema mara nyingi tu mwanamke kama hujisikii kuolewa tulia, single life sio adhabu ya kifo.Moja sio kweli kuwa matatizo ni yale Yale Mwanadamu amebadilika sana kutokana na maendeleo ya Teknologia na Utandawazi Kuna Vitu Katika Jamii vimeongezeka.
Pili Unatakiwa ufahamu kuwa Ndoa Sio Taasisi Ambayo inaendeshwa kwa perfectionism,, Ukiuvunja tuu msingi wa uvumilivu Kwenye Ndoa basi umeivunja Ndoa yenyewe.
Hapa nakusudia mwanaume kuvumilia ya Mwanamke na Mwanamke to do the same.
Sasa unaposema "wanawake siku hizi hawavumilii Ujinga" Naomba kujua ni Ujinga upi unaoukusudia hapa Ambao ulikuwa unavumiliwa na wanawake wa zamani na kwa Hilo Ndoa Zao zilidumu???
Halafu unawakuta wanaanza kulalamika kwa nini watoto wanatabia mbaya? Kwa nini wengi wame jiingiza kwenye upinde.Kijana ambao tunaitafuta 40 na wale ambao wapo kuanzia 40 ..na tayari upo kwenye ndoa au unaishi na mwanamke kama familia na mna watoto jifunze kuelewa kwamba age kama hiyo kufanya divorce ni kukosa ukomavu wa akili .
Taarifa za RITA zinaonesha divorce ya vijana imekuwa kubwa hii inatafsiri vijana hawana maturity na waliingia kwenye familia bila utimam wa akili
Una kuta mtu ana 50 halaf ana divorce !!!! age kama hii Una divorce nini , unaenda wapi ,kuna matatizo mengi ya mental issue kwa vijana wa 40 to 50 hawa ndio wana rate kubwa ya divorce
! Siku hizi watoto wengi ni mayatima hali ya kuwa wazazi wapo dunia bado , what a shame
Watoto wanalelewa na wababa na wamama tofauti hali ya kuwa wazazi wao wapo hai
Mtoto anapanga kuonana na baba au mama yake restaurant kisa wazaz waliachana ….… What a shame
psychologically development ya mtoto inakuwa effective endapo anakuja home na kuwaona wazaz wote wawili
Age kama hizo unatakiwa kuandaa uzao wako uwe bora , wewe unaenda kudivorce ili iweje na watoto wakalelewe na nani ?
Vijana wa 40 plus muelewe kuwa family comes first na mjifunze kuelewa umuhimu wa watoto wanaoishi na wazaz wote
40 years ni age of wisdom and maturity ; ukiacha at this age , kuna chances una afya ya akili na haujui kuwa una afya ya akili
Ego pia ni afya ya akili
Kuna kitu nakiita ideal thinking,, binadamu kutokana na utashi anaweza Kufikilia nadhalia na kufika sehemu ambazo maumbile yake hayawezi kufika.Msingi wa ndoa haupaswi kuwa uvumilivu, ukishaweka neno uvumilivu jua kuna mmoja anakandamizwa na inampasa avumilie, fact; Wanadamu wote uvumilivu sio something eternal….. ndio maana migogoro kila kona sababu mnataka uvumilivu uwe accessory badala ya upendo + compatibility + alignment.
Uvumilivu unapaswa uwepo ila sio muufaye kuwa tegemeo, sio jambo practicle + viable.
Kwann acharangwe mapangaJichanganye ucharangwe mapanga au uwekewe sumu ufe kabisa, "huruma si malezi" shtuka mkuu.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Cc Dr am 4 real PhD.Kwann acharangwe mapanga
Aaaah yule mgonjwa aliyeletwa akiwa mahututi kumbe alicharangwa mapanga,
Namuomba daktare, daktare nisaidie ....... akipona gharam zote tutalipa mbamizwa supa Supapawa
Naam!Kaka
Ke yeyote akiwa anaibuka na visa visivyokuwa na miguu wala vichwa kila siku kuendeleza migogoro isiyo na ulazima ni heri uondoke zako.Kwann acharangwe mapanga
Aaaah yule mgonjwa aliyeletwa akiwa mahututi kumbe alicharangwa mapanga,
Namuomba daktare, daktare nisaidie ....... akipona gharam zote tutalipa mbamizwa supa Supapawa
Upo poaNaam!