Kijana, talaka ukiwa na Umri zaidi ya miaka 40 ni kukosa maturity

Wakichomana mioto kwa mikaa mnakuja kuwalaumu kwa nini walikua wanang'ang'aniana ilhali wangeachana mauaji yasingetokea
 
Wakichomana mioto kwa mikaa mnakuja kuwalaumu kwa nini walikua wanang'ang'aniana ilhali wangeachana mauaji yasingetokea
Tatizo mnashindwa kuelewa mwanamke akivuka 40 anakuwa tofauti kidogo
anaaza ku develop symptoms

As a man that is the moment you should love your woman dearly

Sio unaenda kuacha nae

Au unakuwa mkali na kuanza kumpiga vibao kama Kiranga alivofanya kwa kupiga wanawake vibao ni Tatizo kubwa na ni mental case kuanza kupigana
 
Mwanaume WA Kwanza kusema ukweli, embu nipe lipa namba nikununulie wine ushushie ndugu yangu
 
-Kwenye hatarisho la kufa?
-Mkiona ndugu wa damu bila kujua?
-Mikishindwa kupeana u-house kwa muda hadi sheria ikagoma?
-Mmoja kuiasi ndoa?
-Maumbile/maumbo kushindwa kutimiza haki za kindoa?
Hapo utafanyaje na umri wako?
Yote uliyoyaongea yana njia mbadala.kuyakwepa hata bila kuachana mkuu..!!
 
Wakija kuuwana utasikia sasa kwanini wasingeachana tu kwa amani.
Binadamu sisi hatuna jema. Basi tu, lawama muda wote. Anyway, talaka itoke pale inapobidi kuepusha vifo na changamoto ya Afya ya akili.
 
Ukiona mtu yuko 50+ ana divorce we mwache tu, muwe mnawasema hawa watu wa 20s wanaongia kwenye ndoa kwa mihemuko wanaishia kukaa mwaka mmoja
Unahudhuria sherehe ya harusi halafu wanaanza kuuliza wengine kuwa 'utaona lini na ww'....yaani ni swali la kizushi sana sababu ya mihemko ya tukio la harusi.
 
Kwa nn wanawake wengi hulalamika kuwa hakuna wanaume waoaji ijapokuwa kutoolewa ni uwanja salama kuwa free kimanyanyaso ya Mwanaume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…