Kijana ukitaka kuoa oa msichana anayeishi nyumbani kwao

Hata huko talaka zipo!!

Unafuu Kwa waislam ni ile kutambua kwamba Mambo yakishindikana talaka ipo!

Kwa wakristo hawatambui eti hadi mahakama kana kwamba ndoa ilifungwa mahakamani!!
Ndoa zote zinavunjwa na mahakama kisheria. Sio hizo talaka uchwara za mitaani
 
Sasa hivi hata waliozaliwa bellow 95 wanaanza kuitwa wapigania uhuru. Kwa wanawake ni wakati wa waliozaliwa 2000 kushuka chini
Aisee juzi kuna kabinti kamezaliwa 1999,kamekuja na wenzake m'moja amezaliwa 2002 mwingine 2000.

Ila ukiwaona wameshakomaa na tayari ni wanawake ambao hata wakitoka na mwanaume wa miaka 40 hakuna mtu atashtuka.

Sasa nikajiuliza hivi hawa watoto wa kike waliozaliwa kuanzia 1998 kurudi nyuma halafu wanawaletea mapozi na maringo wanaume hivi wanajielewa sawa sawa kweli hawa?

Hii competition ni kali sana kwa wanawake aiseee.
 
Kila siku mnaibua jipya
Jana mlisema tujitegemee tuwe na kazi
Leo mnataka tuishi kwetu
Hivi mtu unaishije kwenu mkoani
Na wewe unafanya kazi mkoa mwingine
Hebu tupumzisheni kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…