Kijana ukitaka kuoa oa msichana anayeishi nyumbani kwao

Kila siku mnaibua jipya
Jana mlisema tujitegemee tuwe na kazi
Leo mnataka tuishi kwetu
Hivi mtu unaishije kwenu mkoani
Na wewe unafanya kazi mkoa mwingine
Hebu tupumzisheni kwanza
Someni post muelewe sio kukulupuka tu. Hao wanafanya kazi mbali na nyumbani mbona mtoa mada kawaelezea. Mwanamke akitoka nyumbani iwe ni kwa ajiri ya kuolewa tu, siku hizi mnaondoka nyumbani na kujipa title ya upambanaji kumbe uko magetoni mnaenda kufanya umalaya tu. Ukifika muda wa kulipa kodi au marejesho ya mikopo wanawake wa magetoni huwa mnatombwer sana.
 
Kama msichana ni player hata akiwa kwao atatumika vizuri sana
Umalaya ni tabia ya mtu sio kukaa kwao
Wangapi wanakaa kwao mpaka wanazalia hapo hapo na wazazi wakiwepo
Na Kuna watu wanajitegemea ila wapo vizuri sana wametulia.
 
Kama msichana ni player hata akiwa kwao atatumika vizuri sana
Umalaya ni tabia ya mtu sio kukaa kwao
Wangapi wanakaa kwao mpaka wanazalia hapo hapo na wazazi wakiwepo
Na Kuna watu wanajitegemea ila wapo vizuri sana wametulia.
Hakuna system ya malezi ambayo itakua na ufanisi kwa 100% kwa namna yoyote victims lazima wawepo na wanufaika lazima wawepo kwaiyo cha kuangalia ni system gani inayopunguza victim kwa kiasi kikubwa. Wanawake wa jf nawashangaa sana mmekua wabishi hata kwa mambo ambayo yapo wazi, mkiambiwa mmekua ombaomba mnakataa, mkiambiwa mmekua kausha damu mnakataa, hivi hawa wakina dada wa geto ni kwamba hamjui mienendo yao, hamjui kwa sasa wanawake wamegeuza udangaji kuwa ajira yaani wamekua makahaba wa kimya kimya, hamjui mienendo ya wanawake wenzenu huku mtaani au kwa sababu ni jinsia yenu tu basi mnatetea kila kitu?
 
 
My dear friend utajua hujui. Okopa sana mwanamke aliyepanga na anaishi mwenyewe kwenye majiji dume kama Dar, Arusha, Mwanza, Dodoma, Zanzibar,
Acha kukariri...

Kwa maisha watu huishi mbali na kwao kwa sababu za kikazi au kutafuta maisha, sio kama unavyodhani wewe.
 
Ndoa ikijengwa katika hali ya uvumilivu basi haifiki kokote

Ili ndoa idumu inajengwa katika kitu UPENDO.

Huwezi vumilia kama humpendi walau

UKIPENDA watu wataona mapungufu mengi Kwa mwenza wako ila wewe hutaona hata wakimsema hutawaona Wana wivu tu na nyie

Mambo yote huanza kichachuka pindi tu upendo unapopotea hapa hata kitu kidogo sana wewe utakiona kikubwa mmno


UPENDO UPENDO NASISITIZA UPENDO
 
Kuishi Kwao haitoshi.. baba na Mama yake pia wawe hawajatengana[emoji23][emoji23][emoji23]
hapana kuwa na wazazi ambao hawajatengana sio dhamana kuwa na watoto wao watakuwa na successful marriages

Wapo waliotoka kwenye broken homes lkn ndoa zao zimedumu na walio na wazazi ambao hawajatengana lkn ndoa zao zimeshindikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…