Kijana ukitaka kuoa oa msichana anayeishi nyumbani kwao

Oa mwanamke uliyevutiwa naye, mwenyewe UTU na utulivu. Kuhusu unamjuaje kuwa ana utu na utulivu, mi mwenyewe sjui 🤷🏻‍♀️ ndio maana mkapewa akili, Kinyume na hapo hamna rangi utaacha ona. Kila kitu hakina guarantee, ila a good person is a good person regardless.

Hata hivyo naunga mkono hoja, tatizo ni chances ziko ndogo sana, siki hizi tunaolewa tukiwa 25+ tumeenda mahali pengine kikazi/kibiashara, kwa mada hii tuseme ni salama kuoa binti mwenye 24-18 years ndio umri ambao mabinti wengi bado wapo nyumbani.
 
Upo sahihi kabisa as always pisikali. As always...
Shida inaanza pale me wanapoenda kuoa watu waliostafu🤣
 
Wife nlikutana nae kitaa mida ya saa 2 jioni, nkapiga vase akajaa, nliamini nmepata zigo la kupiga na kusepa lakin akawa mke, sasa ni mwaka wa 7 hatujawahi tembezeana kichapo, kanizaliwa watoto wenye akili za nyumbani hadi za darasani.

Kupitia yeye nmejikuta nkishindwa kutoa ushauri kwa mtu yeyote kuhusu namna bora ya kpata mke bora.

Mwanamke wa kuoa hupatkana mahali popote , ...NAWASILISHA.
 
Upo sahihi kabisa as always pisikali. As always...
Shida inaanza pale me wanapoenda kuoa watu waliostafu🤣
ustaafu ni subjective, is it? Mfano wewe ukinioa mimi unakuwa umeoa mstaafu. Ila shemeji yako haoni hivyo. Pita Kwa ma MC uone wanaoolewa.
 
Naunga mkono hoja. Kuna pisi siku hizi unaikuta inakata kvant hadi unahisi wewe ndo unaungua maini unamfikiria kwa uchungu kijana mwenzio atakaeiweka hii carburetor ndani.
 
Sasa hapo tatizo ni wanaume au wanawake wenyewe? Yeye mwanamke anajua yupo kwenye mahusiano inakuwaje anamvulia chupi mwanamume mwingine?
 
Imagine watoto wa kike ikifika mida ya kulipa Kodi wanavyohaha Kwa wanaume. Wengi huchezewa kipindi Hicho cha bills
Kuna kamoja nilikakopesha kakataka kalete pigo za kunilipa kwa kunitunuku uchi, nilikadai mwanzo mwisho kakamaliza deni.
 
Hutaki yatima waolewe? Haya mambo hayana formula Kuna wanaoishi na wazazi lakini wazazi wamewashindwa na Kuna wasio na wazazi lakini mitaa inawalea vizuri.
Ukitaka kuoa kaoe kijijini ambapo mtu analelewa na jamii yote.
Mijini malezi yamewashinda kwani mna own watoto hata jirani akimkamnya unamuona mbaya.
 
Kwa hili na hichi ulicho andika umenyoosha maelezo vizuri sana.
Kama ulikuwa karibu na mimi ungepata soda mkuu.
 
Sasa hapo tatizo ni wanaume au wanawake wenyewe? Yeye mwanamke anajua yupo kwenye mahusiano inakuwaje anamvulia chupi mwanamume mwingine?
Mkuu mzee,
Mwanaume anaweza kufahamu kuwa mwanamke huyu yupo kwenye mahusiano ila akaendelea kutumia ushawishi na kulazimisha mpaka akampata.
Kama unavyosema wanaume in nature hatuwezi kuwa na mwanamke mmoja na sisi ni wadhaifu katika viungo vyao, basi hapana tofauti na mwanamke kuwa dhaifu katika material things.

si ajabu mwanaume kutoka mwanza akamfata mwanamke dar es salaam kwa sababu tu ya kufanya mapenzi.

Untaka kusemq hujui matatzo mengi kwa 98% tunasababisha sisi wanaume?
 
Kwa hiyo haya mawaidha ni kwa ajili ya vijana wa 90s, kwamba wale wa 80s jua linawaka sana na wale wa 70s limeshazama?🤣🤣
Bwana Da vincci acha ukorofi!!!
Kijana wa kiume wa 80's kama hujaoa mpaka leo jua linawaka balaaa mbaya mbovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…