bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Kamata tu mtajuana mbele kwa mbeleSasa vipi kuhusu wale wanajitegemea kwa sababu ambazo zipo nje ya uwezo wao wa kukaa na familia zao mfano kazi n.k!?
Oooh...! jamani Pisi Kali pole sana, njoo kwangu upate pumziko la milele ila uwe unaacha kitu kimoja kimoja geto hadi uhamie mazima.Wazazi wangu wako Sumbawanga huko, mimi kiutafutaji nipo Mtwara, so unashauri niache kazi nirudi home kuambatana na huyo mama ili niolewe? Aisee sidhani kama hicho ni kigezo sana, kuna watu wanaishi na wazazi na hawana hizo sifa za uwaifu material hivo, na kuna anayekaa ghetto ila ni mstaarabu sana tu.
Mkifata hiki kigezo huu mwaka utapita tena bila bila dah[emoji23], naacha kazi narudi Sumbawanga kuambatana na mama[emoji119]
Mkuu ntahamia kweli ujueππOooh...! jamani Pisi Kali pole sana, njoo kwangu upate pumziko la milele ila uwe unaacha kitu kimoja kimoja geto hadi uhamie mazima.
Ubinadamu ni kazi/Humanity is work.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hivi una miaka mingap kwa sasa?Wazazi wangu wako Sumbawanga huko, mimi kiutafutaji nipo Mtwara, so unashauri niache kazi nirudi home kuambatana na huyo mama ili niolewe? Aisee sidhani kama hicho ni kigezo sana, kuna watu wanaishi na wazazi na hawana hizo sifa za uwaifu material hivo, na kuna anayekaa ghetto ila ni mstaarabu sana tu.
Mkifata hiki kigezo huu mwaka utapita tena bila bila dahπ, naacha kazi narudi Sumbawanga kuambatana na mamaπ
Unataka kuninunulia cake ya birthday mkuu? Miaka mingi sanaaHivi una miaka mingap kwa sasa?
Hahaa wewe si uko early 20s, mimi nishavuka huko niko 3rd floor π€£Nataka kujua ili nione kama nishakufikia nine kubeba jiko
Mkuu unaelewa maana ya neno malaya?Basi umeoa malaya
Una hoja usikilizweNb. Nategemea kupata upinzani mkubwa kutoka mwa wanume... Since watetea haki za wanawake wengi ni wanaume πββοΈπββοΈπββοΈ
SikupingiWanaume sisi in nature ni malaya 98% hatuwezi kuwa na mwanamke mmoja.
Akiwa real ana hofu ya Mungu ni safi kabisa ila wengi wanaigiza sana...
Bado tu hujafika tu geto we Mlibwende [emoji848][emoji1]Mkuu ntahamia kweli ujue[emoji3][emoji3]
Why nikutanie mdogo angu, am very seriousNimesoma uzi wako kumbe ulikua serious au unatupanga mkuu?