Kijana ukitaka kuoa oa msichana anayeishi nyumbani kwao

Utakuja kulia vibaya wewe. Watu wanaishi geti kali na wanaruka ukuta wanaenda disco wanarudi saa 11 na wazazi hawajui kitu.

Mbona wanazalia nyumbani sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na wapo kwenye mikono ya wazazi? Na wanarudi nyumbani mapema?

Oa mwanamke ambaye uhuru haumchanganyi. Sasa wewe oa mwanamke aliyefugwa kwenye cage siku usafiri apate uhuru uone atakavyoutumia.
 
Kwa hiyo haya mawaidha ni kwa ajili ya vijana wa 90s, kwamba wale wa 80s jua linawaka sana na wale wa 70s limeshazama?🀣🀣
Bwana Da vincci acha ukorofi!!!
Sasa nyie mlio zaliwa 70s na 80s mimi wa 20s nitawashauri nini? Nyie ni wapigania uhuru Ni sawa nawamfundisha mbwa mzee jinsi ya kubweka
 

Kuna namna ukiitafakari hii, kuna hoja hapa [emoji1421]
 
Kwa hiyo sisi tuolewe na nani?
 
Ndoa inajengwa katika misingi ya uvumilivu. But my point is pinned to the fact that all wife materials must be staying with their parents
Wasio na wazazi?
Haya uliyoyaongea haya apply Kwa maisha ya Sasa!
Wengi wako mbali na wazazi wao sio Kwa kupenda ni Kwa sbb tofauti tofauti!
 
πŸ€£πŸ€£πŸ™„Kwa mabinti wepi?
Mungu wangu ,jmn
Omba tu Mungu akupe mwenza mtakaeekewana nje ya hapo vilio havitaisha
 
Wasio na wazazi?
Haya uliyoyaongea haya apply Kwa maisha ya Sasa!
We go wako mbali na wazazi wao sio Kwa kupenda ni Kwa sbb tofauti tofauti!
Nimesema kuna factor zinazoweza kumfanya Mwanamke akaishi mwenyewe na nimezisema. Hata hivyo inatakiwa iwe last resort/option.

Mwanamke inatakiwa awe na experience ya kuishi mbali na wazazi/walezi pindi akiolewa tu sio eti aamue akapange kisa ana uwezo wa kulipa kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…