Kijana ukitaka kuoa oa msichana anayeishi nyumbani kwao

Mimi sitaki mambo mengi kikubwa awe mtoa uroda kikamilifu. Mambo ya ratiba huo ugomvi wake ataikimbia ndoa mwenyewe.
 
Sasa mkuu, mimi mwenyewe nakaa kwa wazazi, halafu unataka nitafute mwanamke anayekaa kwa wazazi. Sasa si yutakufa kwa njaa mkuu? Au hujui zama zimebadilika?
 
Wanawake mmekua wengi kuliko wanaume inabidi na nyie muanze kutuvizia njia ya dukani mtusimamishe maana mmetutesa sana na sisi tupumzike sasa
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ni hivi. formula ni oa mwanamke unayemjua kwa undani. Au kama umekutaka naye ukubwani basi chukuweni muda kujuana.
 
T
true true
 
Nb. Nategemea kupata upinzani mkubwa kutoka mwa wanume... Since watetea haki za wanawake wengi ni wanaume πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Nimekuelewa ndugu. Mwanamke aliyepanga halafu hana kazi maalumu ni changamoto. Muda wowote anapandwa
Sasa huko ndoani ndiyo mambo ya kuitana vibamiaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nb. Nategemea kupata upinzani mkubwa kutoka mwa wanume... Since watetea haki za wanawake wengi ni wanaume πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
MWANAMKE ANAYETOKA KWENYE MAMLAKA YA WAZAZI, NI RAHIS KUISHI KWENYE MAMMLAKA YA MUME.
HUYU ALIYE ANZA MAISHA KWA
KITANDA KAHONGWA NA JUMA
MAKOCHI MZEE KIPARA
TV NA RADIO MFANYAKAZI MWENZIE
KODI INALIPWA NA BOSI WAKE
NGUO ANA NUNULIWA NA BOIFRENDI A
SIMU NA MIKOBA INANUNULIWA NA BOIFRENDI B

Kaka mkubwa unaoa mke wa wenyewe, poleni waoaji
 
Kuzalia nyumbani sio issue kiviiiiile


Ila Hawa Hawa wanawake wanaoishi kitaa peke Yao Kwa experience yangu Mimi ni hatari Kwa afya yako.. Sisi ni wanaume tunajua tunachoongea! Asilimia kubwa ya wake Bora ni wale wametoka kwenye familia huu ni ukweli hata kama ubishe. Haimaanishi eti hakuna wanaotoka kwenye familia wakiwa na Tabia mbaya, hapana wapo ila Hawa wakitaa ni hatari zaidi na wapo kwenye risk zaidi ya kushiriki Tabia ovu.


Imagine watoto wa kike ikifika mida ya kulipa Kodi wanavyohaha Kwa wanaume. Wengi huchezewa kipindi Hicho cha bills
 
Eti hofu ya mungu Tena hao ndio wa kuogopa kama Shetani


Bora uoe baamedi kuliko hao wa kujiita wana hofu ya mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…