Pre GE2025 Kijana, Ushirikina na Uchawi hautakusaidia kupata nafasi ya Uongozi wa Kisiasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
My son you can't void witchcraft, katika hii dunia yenye mambo mengi, visible and invisible!
Those great men, posses a great power!
I can confirm to you gentleman without fear of contradictions kwamba, through God you can be a very influential and powerful political leader as I am, in my constituent and in certain decision making institutions
 
Lazima uwe na kioo cha kuwachunguza watu wanaokupinga. Unakaa ofisi binafsi unaangalia mmoja mmoja, wanavyokutana na kupanga vikao. Siku nyingine unawafata pale pale walipokaa
kioo cha kuwazoom sio
 
Hii aisome Hamisi Kigwangwala aka mzee wa makafara itamsaidia sana.
 
Mheshimiwa kwamba hauna mganga anaekusetia dish lako kwa wapiga kura huku??? Acha basi kututania......
let me make it clear,
ni kwavile tu sikumalizia story yangu yahttps://www.jamiiforums.com/threads/kwa-mara-ya-kwanza-nathubutu-kugombea-ubunge.2205618/

kuna sehemu kulikua na masuala yaho ya kishirikina na uchawi, lakini haikua ngumu kwangu kuyakabili na kuyateketeza kwasababu na kuvuka jaribu hilo,

Mungu alie hai alikua ndani yangu, na kila nilipopata ugumu au wepesi wa safari yangu kutafuta uongozi wa kisiasa, nilimshirikisha, niliambatana, na kuandamana nae kimwili na kiroho anifanyie wepesi na urahisi wa kupita, na hatimae niliikamilisha safari yangu iliyojaa uzito na majaribu mengi na ya kipekee sana, na kwakweli, kwa Neema na Baraka za Mungu nikamaliza salama
 
Unadhani kina Jenister wapo mjengoni toka wakiwa mabinti hadi uzee unawakuta ni kwa nguvu zao au maombi? Ushirikina na kutoa papa.
binafsi sidhani kabisa katika ushirikina na uchawi katika siasa
 
huo ni upotoshaji gentleman

nimewashauri kwa dhati kabisa vijana wenzangu wenye nia, dhamira na ndoto za kua viongozi wa kisiasa nchini, kwamba ili kuongoza wananchi kwa uhakika, furaha na amani, hakikisha unatafuta na unapata uongozi kwa nguvu, bidii, haki na maarifa yako halali, aliyo kujaalia Mungu, na sio kwa mambo yaliyo kinyume na Neema na Baraka za Mungu
 
Huyo bado mchanga kwenye siasa!

Ngoja akutane na simbachawene ampe somo yeye kadumu kwenye game kwa nguvu ipi!

Mungu anaweza kukupa nafasi lakini kanuni za kupanda juuau ku maintain ndio tatizo!

Utakuta Hadi mwamposa anaaguliwa!
mbona uliemtaja mrahisi sana,

miongini mwa nielie kua nikipambana nae,

alikua na shanga nyeupe mkononi na shingoni, hizi alijitahidi kuzificha zosionekane lakini akijisahau unaziona tu live,

lakini pia nilidokezwa kwamna na kwenye korodani na kwenye mshedede pia, alikua amepavisha shanga nyeupe kulingana na mwembwe za mnganga alie mrubuni

lakini mwisho wa siku akapigwa chini mapema kabisa kwenye nchujo wa chama, sasa sijui kama tayari alikua amesha ua mtu asie na hatia kanbla maskini ya Mungu dah?
 
Unaonekana hujui vitu vingi sana kuhusu hii dunia, usichanganye elimu yako ya kukaririshwa hiyo na elimu ya asili
basi hiyo ya asili ni mbaya sana yaani unadanganywa na mganga kuua binadamu mwenzako asie na hatia, ili ushinde uchaguzi na upate uongozo kweli?

vipi uki uawa wewe sasa kwaajili hiyo au mwanao?
 
Neno uganga na ushirikina vilikuja baada ya dini za oppressers kuingia,ila ndio njia za asili za kiimani za waafrika,acha tufuate asili yetu usilam na ukristo ni dini za kuletewa na watesi wetu hazina jema kwetu.
kutafuta uongozi kwa kuua binadamu wengine ni njia ya uasili ya kiimani ya kinyama sana sana Africa...

kuna haja ya kuitukuza kweli?
 
kioo cha kuwazoom sio
Naam, lazima haya mambo uyajue, kuna kulishwa uchawi kwenye chakula, lazima fundi akuwekee mambo kama chakula kina sumu au uchawi sahani ipasuke. Safari nyingine kabla ya kusafiri unapata early warning system za yajayo. Zile zinazomfanya Lissu acheke cheke akikutana na Malkia wa Sheba (mama kizimkazi), baadae akitoka anaenda kutukania ikungi.

Au vidono, ile ya kuzuia risasi isikuue, hata Lissu ilimsaidia pale Dodoma
 
Uchaguzi huu,,tunaenda kusaka wataalam kutoka sauzi,, wa nigeria mambo yanakua magumu,,hadi kieleweke 2025 lazima tuzame mjengoni dodoma
 
Hahhaha eti anachekacheka akikutana na bimkubwa,,matusi hadi ikungi,, halafu watu wanazichukuliaga poa sana zile chai za ikulu, ila zimewatuliza wengi😀😀😀
 
Kuwa mwanasiasa nguli na kupanda vyeo vikubwa lazina uwe na malaika wenye nguvu sana pembeni yako au uwe na nguvu kubwa sana ya kwako mwenyewe ya ndani.

AU

Uwe na mauchawi yenye nguvu sana.

VINGINEVYO utaishia kuvaa magauni ya kijani tu huku wenzio wakitafuna manyama.
 
Si hata watoa mtandao nao wanapanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…