Pre GE2025 Kijana, Ushirikina na Uchawi hautakusaidia kupata nafasi ya Uongozi wa Kisiasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ccm inawenyewe na uchawi nisawa na samaki na maji,labda wewe ni mshika filimbi tu hujui lolote
 
ccm inawenyewe na uchawi nisawa na samaki na maji,labda wewe ni mshika filimbi tu hujui lolote
mimi nmeshauri wanasiasa vijana wenzangu jambo ambalo sijaona umihimu wake kwa wengi...

Mimi nina mshukuru Mungu, nimevuka salama kumtegemea yeye pekee,
na sasa bafanya siasa za jimboni, kitaifa na kimataifa kwa uhakika kwasababu Mungu yupo pamoja nami ndani yangu daima
 
Duh yawezekana ametumwa mana wameona watu wameamka japo sio wengi bado kazi kubwa inaitajika kuwatoa watu kwenye kupumbazwa ili watawaliwe kindezi, mfano mzuri ni nyomi la kwa mwamposa, wale wote ni mapunguani wanaitaji kuzibuliwa akili waamke kwenye usingiz mzito wa kupumbazwa..
 
Changa la.macho ..stori za vijiweni hizi ..
 
Ooh kwahio ukitaka kumchomoa pale jimboni inabidi na wewe uwe mtu wa kazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiboko yake Joseph Muhagama, walitifuana alipoona anashindwa, ndo akaamua wagawane jimbo, na kuzaliwa Jimbo la Madaba ambalo mbunge ni Jose.

Yule kila mda wa uchaguzi, hataki mtu atokee kumchallenge, anamzimisha kivyovyote. Na safari hii tumesikia mke wa Majaliwa anakuja kugombea kulee, za chini chini zinasema anataka wagawane jimbo, kuwe na Peramiho kusini na Peramiho kaskazini.

Sasa tunasubiri kuona.
 
aise kumbe mambo mazito namna hiyo?

hiyo ya chakula nilishuhudia kwa rafiki yangu wakati tukisoma seminary, yeye alikua akilelewa na mama wa kambo.
siku hiyo tukuwa tunaoshi parokiani , tukaenda kuitembelea familia yake, hatukumkuta babake mzazi nyumbani, ispokua tulimkuta mama yake wa kambo...

akatuandalia chai,
kumbuka shuleni na parokiani tulikatazwa na kusisitizwa sana kujizuia kula mtaani, lakini kwakua ilikua nyumbani hatukua na hofu wala nguvu ya kukataa kula,tulikua na amani kabisa...

basi tukakaribishwa mezani na kila moja wetu akapewa kikombe chake kilichojaa chai na vitafunwa pembeni...

nilishangaa rafiki yangu kikombe aliponyanyua chake na kutaka kunywa chai ile, kabla hajakifikisha kinywani mwake, alikua aketetemeka mikono na asiweze kukufujisha kunywani mwake,

alijarinu mara mbili,
mara ya tatu kikamponyoka na chai ikamwagika na kile kikombe kikapasuka na kusambaratika kama vile kimerushwa kutoka angani......

mama alikua akitetemeka mno pia,
alimpatia kikombe kingine na hali haikua tofati na ya mwanzo, na sasa chai ilimchafua nguo zake na tukalazimika kuondoka kurjea parokiani....

tulipokua tukieleza mazingira haya kwa wakongwe walitueleza kwamba hapo kuna mazingira ya kishirikina lakini pia kuna nguvu za Mungu
 
Ana uheshimiwa gani huyo kapuku..! Hana hela. Na hajui hela inatafutwaje.
mie sitafuti hela, wala sitaki jela kwa mgongo wa wananchi wanyonge ninao watumikia kwa bidii sana, kwa uaminifu saa bila kuchoka, kunung"unika hali ngumu, wala kukata tamaa hata kidogo...

mihimu hawa wananchi wanapata maendeleo wanayoyataka kwanza na wanafurahi, ndipo nami nione kama kuna kakitu kidogo, nami nione kama kananifaa na familia yangu...

hata hivyo,
nafurahi mang"ombe yana afya ni nzuri sana, chakula na maji yapo ya kutosha, na huko shambani mavuno yanatia moyo sana, si kwangu tu pekeyangu bali wakulima wote nchini...

kongole nyingi sana kwa mh.Rais Dr.Samia Suluhu Hassan, kupitia huyu waziri kijana makini na mchapakazi sana wa Kilimo Hussein Bashe, kamaa ameleta mageuzi ya kilimo kwakweli.

mwaka huu tumevuna aise dah

Asant Mungu kubariki kazi za mikono yetu, asanti kuonekana mashambani kwa wakulima nchini...
 
Changa la.macho ..stori za vijiweni hizi ..
yes,

ndio mimi siwezi kubabaika na ushirikina wala uchawi,
Neema na Baraka za Mungu zimeambatana na kuandamana tangu hatua ya kwanza kuingia kwenye siasa,

kwahivyo nimejiskia kuwashauri bure, vijana wenzangu wenye dhamira za kuingia kwenye siasa kumuamini na kumtegemea Mungu zaidi ya ushirikina na uchawi

ukiona unafaa sawa, ukiona haufai na shauri yako pia...
 
Yaani akawachota kirahisi hivyo? Aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…