Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Mleta uzi na supporters wote mtakuja kuwa au mnao pia na watoto wa kike, madada na mashangazi wa damu. Unaposuggest hayo na kusema hayo kuhusu mwanamke inawagusa na hao ndugu zenu pia. This App imekuwa so toxic kwa mwanamke. So many negativities huwezi amini anaandika mwanaume. Umezaliwa na mwanamke pia. Have some respect. Shame!
 
I should be asking you that?hao unaowaita wamechakaa wanachakazwa na nani??
 
Indeed afu akiambiwa anakwambia yamekuchoma.....unasahau utapewa/umepewa uzao wa mwanamke
 
Kwaiyo tuunge mkono mienendo mibovu ya mabinti kwa sababu tuna ndugu wa kike? Wanawake mjifunze kuwa accountable kama sisi wanaume.

Wanaume ambao bado wanajitafuta wanakutana na masimango mengi kutoka kwa wanawake tena unakuta wanawake wenyewe ni masikini zaidi, lakini mtoto wa kiume anajikaza anapambana mpaka anatoboa.

Nyie mkiguswa kidogo tu ndio mnakumbuka kwamba na sisi tuna ndugu wa kike, lakini wakati mnawashusha hadhi wanaume ambao hawajasimama kiuchumi hamkumbuki na nyie baba na kaka zenu ni masikini pia
 
Now najua tatizo lako linaanzia wapi. Learn to heal peacefully bro. Na jifunze kuepuka kufanya generalization ya mambo. Hakunaga jibu moja katika maisha, life is an algebraic equation, hayana format ya 1+1=2. Katika maisha kuna x na y nyingi mno na kila mmoja anazo zake.
 
Wanachakazwa na badboys and irresponsible men, na wanaruhusu kufanyiwa hivyo kwa hiyari yao wenyewe

Wanachakazwa na badboys and irresponsible men, na wanaruhusu kufanyiwa hivyo kwa hiyari yao wenyewe
Then unakubaliana na me kila kitu kinaanzia kwenye makuzi,me wafundishwe kusimama kwenye nafasi zao na ke wafundishwe majukumu yao hapo ndounaweza ukamnyoshea kidole mwenzako ila usisahau hata wewe unanafasi unaplay kwenye huo mchakato
 
Sihitaji ushauri wako, i'm on the right track in my life. Wanawake wenzako wanaoishi reckless life ndio wanahitaji zaidi huo ushauri hao ndio wanaodhalilisha jinsia yenu, wala sio sisi ambao tunafichua mienendo mibovu
 
Then unakubaliana na me kila kitu kinaanzia kwenye makuzi,me wafundishwe kusimama kwenye nafasi zao na ke wafundishwe majukumu yao hapo ndounaweza ukamnyoshea kidole mwenzako ila usisahau hata wewe unanafasi unaplay kwenye huo mchakato
Ndicho kinachofanyika hapa, ukiwaambia wanaume waoe mwanamke bikira automaticaly inapeleka ujumbe kwa wanawake wanatakiwa kujitunza.

Pamoja na kwamba kila upande unatakiwa kufundishwa ili kuzuia matokeo mabovu lakini bado kila upande kuna vipengere ambavyo unakua na nguvu kubwa zaidi katika mchakato wa kuleta hayo matokeo mabovu mfano suala la sex na fertility hapa mwanamke ndie gatekeeper, nothing can happen without woman's consent kwaiyo mkazo unatakiwa kutiliwa zaidi upande wa jinsia KE
 
Vitoto vya 2000 tena ndio maana mnatembea mnaongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…