Nashukuru kwa mawazo mazuri, lakini binafsi nitaumia kukubaliwa na mwanamke kwasababu Nina mali,Basi kuna viwango hujafika
Muombe Mungu akupe maisha mazuri. Mwanamke hawezi kukataa mwanaume mwenye maisha mazuri tena huo mwanamke Akiwa hajaolewa
Mwaka 2022Ulioa mwaka gani?
Ni mtazamo mzuri pia lakini pia kabla haujafanya maamuzi ya kuingia kwenye committed relationship ni muhimu uwe na stable income. Love is sweet but bills are real.Nashukuru kwa mawazo mazuri, lakini binafsi nitaumia kukubaliwa na mwanamke kwasababu Nina mali,
Maana ake yeye kapenda vitu sio mtu,
Mara nyingi mtu akikupendea vitu huwa anajali hisia zake, utajijua wewe
uumie usitumie Ila nafsi yake iridhike
Kumbe juzi tu . Huna experience badoMwaka 2022
Kwaiyo kujifunza ni mpaka nipate experience ya kupigwa na kitu kizito au sio, siwezi kujifunza kwa walionitangulia?Kumbe juzi tu . Huna experience bado
Wewe unadhani wanaopigwa na kitu kizito hawakujifunzq kutoka kwa wazazi wao? Ndoa zinatofautiana sana.Kwaiyo kujifunza ni mpaka nipate experience ya kupigwa na kitu kizito au sio, siwezi kujifunza kwa walionitangulia?
Baba angu tayari alishanipa miongozo na nimeona kwa vitendo maisha waliyoishi na bi mkubwa. Offcourse kuna mambo lazima ujifunze practicaly lakini kwa kiasi kikubwa miongozo niliyoachiwa na mzee inanisaidia sana
Ukiwaambia ukweli utasikia mapenzi hayana formula. Hivi katika hali ya kawaida inaingia akilini mwanaume azae na mwanamke halafu ampotezee kabisa as if nothing happened. Wazazi hawawezi kuachana, watatengana tu. Kama hawatombani basi lazima watakua wanafuatiliana nyendo zao.Kuoa 30+ ,singomaza inabidi uwe na uwezo wa kuishi motoni
Point yangu ni kwamba sio lazima upigwe ndio ujue kufanya maamuzi sahihi. Unaweza kufanya maamuzi sahihi kwa kujifunza kutoka kwa waliokutangulia sanasana wazaziWewe unadhani wanaopigwa na kitu kizito hawakujifunzq kutoka kwa wazazi wao? Ndoa zinatofautiana sana.
Mungu atusaidie kwa kweli Tuwaombee watoto wakike wasidanganyike ovyo ovyoUkiwaambia ukweli utasikia mapenzi hayana formula. Hivi katika hali ya kawaida inaingia akilini mwanaume azae na mwanamke halafu ampotezee kabisa as if nothing happened. Wazazi hawawezi kuachana, watatengana tu. Kama hawatombani basi lazima watakua wanafuatiliana nyendo zao.
Hadi nilikuwa nawaza nisikukaribishe tena uswazi kwetu😂😂😂😂😂hahahaa haya ngoja nikufosie.Anataka kunichafulia jina huyo kenge maji 😂
Mamtu Hannah usimsikilize huyo alafu soma kapsheni pichani.
View attachment 3279790
Pamoja na fumbo la mustakabali wa maisha yetu pia tunawajibika kuchukua taadhari zote katika ufanyaji maamuzi. Mwanamke kuwa single mother au kufika 30+ akiwa hajaolewa iyo ni red flag, inawezekana akawa mkosaji au victim lakini kitendo cha kuwa na moja ya izo sifa(au zote) kwa mwanaume yoyote makini lazima utakua na alama ya kiulizo akiliniMaisha hayatabiriki ,watu wanaweza kuufuata ushauri wako wakikuamini mwishowe wakajutia
Hahaha ni mtazamo wako tu ndugu. Usikariri maisha, unaweza kupata mwenzi bora mwenye 30+ hata single mother.Pamoja na fumbo la mustakabali wa maisha yetu pia tunawajibika kuchukua taadhari zote katika ufanyaji maamuzi. Mwanamke kuwa single mother au kufika 30+ akiwa hajaolewa iyo ni red flag
thanks but I won't repeat the same mistake.Hahahahaha .You're welcome to come again. Next time, I'll personally pick you up when you arrive😂
30 mingi Sana mkuu, mimi ni reference tosha.Labda 30 ya majuu sio bongo..
Saizi watu wanafika 35 maisha bado hayajakaa sawa
Maamuzi ni yako neno langu sio sheria
Yap Ina ukweli namna fulankUpo sahihi kabisa bongo 35 kama mtu kasoma level zote kielimu bado hana kitu cha maana
Tusidanganyane bhana 30+ mwanamke anatafuta retirement plan. Hawezi kuwa na mapenzi katika umri huo. There is a different between loving and survivingHahaha ni mtazamo wako tu ndugu. Usikariri maisha, unaweza kupata mwenzi bora mwenye 30+ hata single mother.
Kikubwa ni mwanaume kuwa kiongozi bora kwenye couple yao.
Nime muambia pia, mabinti wa 20 wapo wastaarabu Sana.Wewe utakua unaaproach Slay Queens,.......tafuta kijana aliyshika dini uone