Yah, most of them hizo ndo kauli zao. Hapo maana yake anataka kwanza agongwe na wanaume kadhaa kisha akimaliza ujana ndo atulie ndani ya ndoa.Sijajua si ni mimi. Tu ndo inanitokea nishaaproach sana hao below 25, girls with no kids
Hakuna anayetaka kuolewa na umri huo wanajiona bado wadogo ๐ค
Wanakwambia kuolewa labda wafike 25 and above
Baba yangu kwenye maswala ya mahusiano siwez kumsikilizaBasi ongea na viongozi wa dini. Ila ukiongea na baba sidhani kama kuna shida
Kimeumana kwaiyo Hawa tukiwaacha waende wapi๐Nyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23.
Mwanamke ambae ni agemate wako kibaiolojia amekuzidi miaka mitano, mfano wewe una miaka 31 umeoa mwanamke mwenye miaka 29 kibaolojia mwanamke huyu kakuzidi miaka mitatu. Mtu yoyote akikuambia umri ni namba tu, uyo ni muongo. Huo ni msemo wa simps na 30+ wasted women.
Vilevile mwanamke anawahi kuingia menopause. Miaka 40 tu mwanamke tayari, wakati mwanaume menopause inaenda kukuta upo 55 uko. Utaweza vumilia kupata sex mara moja kila baada ya miezi miwili?
Umepambana peke ako bila msaada wa mwanamke yoyote, maisha yamekaa kwenye mstari then go for 18-23 young women with innocence and possibly virginity. Don't settle for 30+ woman that has been overused and went through so many relationship heartbreaks which made her toxic .
Hivi utajisikiaje nikikuuzia volvo ya mwaka 95 kwa bei ambayo unaweza kupata mercedes GLC 300? iyo ndio biashara utakayoifanya kijana wa kiume ukioa mwanamke wa miaka 30+
By marrying a retired veteran you are not getting value for your money. You didn't hustle bulding your life to end up with a left-over.
Don't be a simp.
Huyo wa 30 unaongea nae nini kwa muda mrefu?Binafsi ningekua na mpango wa kuoa ningeoa mwanamke mwenye kuanzia miaka 30 nakuendelea , mtoto wa 18 na 20 huyo Sitakua na hata cha kuongea nae zaidi ya kukizagamua tu mwisho wa siku home kutaboa nitashinda bar bure.
Makontena mapya ya form four kila mwaka yanamwagwa mtaani.Miaka 18-23 hao wote ni wanafunzi labda kama unashauri kuoa wale walio kosa fursa kwenye Elimu
Hivi mkuu una miaka 36 unakuja kuoa katoto kana 18 kweli? Mtaendana, mbona naona ni generations mbili kabisa.Sasa mkuu, we suggestion yako kwa umri huu 30's age yupi ni sahihi
Unamjua mke wa Mugabe?, mke wa Mandela je?, mke wa mwisho wa ID amini kabla hajapinduliwa?,Hivi mkuu una miaka 36 unakuja kuoa katoto kana 18 kweli? Mtaendana, mbona naona ni generations mbili kabisa.
Inategemea na umri wako mkuu kama upo 35+ na tayari una mtoto/watoto unachokiongea kinaweza kuleta maana lakini kwa kijana ambae ndio anaanzisha familia kwa mara ya kwanza mwanamke wa miaka 30+ ni risk ya hatari zaidi, kwa sababu huyu anakuja na emmotional baggage kutokana na heartbreaks za mahusiano yake ya nyuma na possibly kizazi akipo active kwa sababu ya umri kusogea na uwezekano wa kuwa tayari ashafanya abortions au kunywa dawa za uzazi wa mpango. Hata hivyo mwanamke wa miaka 18-20 sio mtoto, huyu kama kalelewa na wazima wake vizuri tayari ana qualifications zote za kuolewa labda tu awe bado mwanafunzi wa sekondari.Binafsi ningekua na mpango wa kuoa ningeoa mwanamke mwenye kuanzia miaka 30 nakuendelea , mtoto wa 18 na 20 huyo Sitakua na hata cha kuongea nae zaidi ya kukizagamua tu mwisho wa siku home kutaboa nitashinda bar bure.
Kuanzia miaka 18, possibly huyu tayari sio mwanafunzi wa sekondari tenaMiaka 18-23 hao wote ni wanafunzi labda kama unashauri kuoa wale walio kosa fursa kwenye Elimu
Wanawake wa age hiyo unakuwa na authority and power yakumfanya namna unavyotaka awe hapa ndipo inawashinda wananaume wengi Kama wewe na ndio maana mnakimbilia kwa wanawake waliotumika sana Natafuta Ajira wape elimu hawa vijanaBinafsi ningekua na mpango wa kuoa ningeoa mwanamke mwenye kuanzia miaka 30 nakuendelea , mtoto wa 18 na 20 huyo Sitakua na hata cha kuongea nae zaidi ya kukizagamua tu mwisho wa siku home kutaboa nitashinda bar bure.
Na hawawezi kuolewa na babu..!! ๐น๐นSijajua si ni mimi. Tu ndo inanitokea nishaaproach sana hao below 25, girls with no kids
Hakuna anayetaka kuolewa na umri huo wanajiona bado wadogo ๐ค
Wanakwambia kuolewa labda wafike 25 and above
Sio wanawake wote Wana hiyo tabia wapo ambao wanamaadili lakini pia wenye hiyo age ni rahisi kufundishika Kama ukiwa una good communication skillsSema, Ata mimi mzee baba huwa nakua excited siku ya kwanza baada ya hapo huwa nakosa topic, sasa unakuta binti anashinda tiktok anajisnap ili apost
Iyo ndio approximation gap ya miaka ambayo unatakiwa kumzidi mkeo, biological clock ya mwanamke ni tofauti na ya mwanaume. Mimi mke wangu nimemzidi karibu miaka 10. Kuna mambo mengi sana vijana wa kisasa tumedanganywa na ndio chanzo cha chaos zote kwenye mahusiano. Jenga mazoea ya kuongea na wazee utajifunza mengi, muhimu usiwe tu negativity kwa kuwaona wana mawazo ya kizamani wewe wasikilize tu ukiwa na open mind.Hakika mkuu, upo 30s unatafuta kibinti kina 20?
Hasa wale wanaotokea kwenye mazingira magumuYah, most of them hizo ndo kauli zao. Hapo maana yake anataka kwanza agongwe na wanaume kadhaa kisha akimaliza ujana ndo atulie ndani ya ndoa.
Lakini mkuu amini wapo wanawake wengi tu below 25 wapo tayari kuingia ndani ya ndoa.
Wapo wachache wanaoza katika iyo age sema kiafya mwanamke anatakiwa kumalizana na masuala ya uzazi akiwa under 30. Zaidi ya hapo mimba inakuja na complications nyingiNa kingine wanawake wanazaa hadi miaka 40 na kuendelea mbona, Nina jirani huku Kijiji mimba ya saba hii na yupo na miaka 45
Babu kivipi wewe๐คNa hawawezi kuolewa na babu..!! ๐น๐น
Dah nime cheka Sana ๐ ๐Umenikumbusha mahubiri ya mzee wa upako antony lusekelo enzi zake yuko kwenye peak.
Nilimsikia siku moja anasema "unakuta mtu kabisaa ananihangaisha eti mchungaji niombee nyumba ninayokaa ina wachawi sana nashimdwa kulala usiku, halaf ukiuliza hiyo nyumba ni yako ? Anakuambia amepanga. Sasa kwann usihame hapo badala ya kusumbuana na maombi, kwann usiende ukapange mahala pengine, sio kila kitu ni maombi hapana, muda mwingine tumia akili ya kawaida tu kwanza kabla ya kuomba Mungu"