Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Ni kweli mimi mwenyewe nimerithi kupenda totozi Ila nataka nijitahidi angalau nisipite sana kule,
ni kweli, wanawake ni liability, relationships are expensive. Kwenye haya masuala ya uchakataji mbususu kijana wa kiume ni vyema ukafanya kwa kiasi ambacho hakikukwamishi kiuchumi. Kumbuka nyakati zako za uzee ni hazina yako iliyopo benki tu ndio itakulinda, wakati huo watoto wako wote watakua bize kutekeleza ule usemi wa "nani kama mama"
 
Na mtoto hauna Authority nae.. pia kuna safari za mara kwa mara Mtoto akamuone Baba ake.. au Baba amuone Mtoto wake..

Mtoto akitoka hapo hujui anaambiwa nini.. anakuona kama fala mmoja hivi
Vijana mnakosea, kuoa single mom ujue unaoa mke wa mtu. Ukiwa tayari kwa Hilo single mom ni wanawake wazuri Sana.
 
Kumbuka pia shusho sio Binti wa 2000 Sasa hawa wa 2000 itakuaje?
 
19-43 iyo ni gap kubwa kidogo.
 
Mkuu case yako wewe haipo applicable kwenye huu uzi, maana wewe umeoa rafiki yako ambaye mlikuwa tayari mmeshatengenza bond yenye nguvu kwa muda mrefu sana kiasi cha kukupa urahisi ya wewe kuishi naye bila matatizo.

Kuna tofauti kubwa sana kumuoa mwanamke ambaye mnalingana umri ila mmefahamiana kwa kipindi kirefu, na kuoa mwanamke unayelingana nae umri ambaye umekutana nae ukubwani hasa mkiwa tayari mko 30+.

Huyu mliokutana ukubwana capability yake ya kubond na wewe ni ndogo saana, maana mnakutana tayari kila mtu ameshaset mifumo ya maisha yake na mitazamo yake ambayo mara nyingi haiwezi kufanana....!! Lakin yule mliokuwa wote kuna vitu vingi sana mtaendana na wala hauwezi kupata shida

Messi amemzidi mke wake mwaka mmoja na wamefahamiana naye tangu Messi akiwa na umri wa miaka 7 huko kwao Rosario Argentina, mpaka sasa hivi wana 37 mwingine ana 36 wanazesheena na ni moja ya celebrity couple bora sana.

Lebron James ana umri wa miaka 40 sasa amemzidi mke wake miaka 2 tu, ila wamefahamiana tangu Lebron yuko high school akiwa na miaka 15, couple yao ni moja ya couple ya mfano kwenye black communities, hivyo hivyo pia kwq Snoop Doggy yeye na mkewe wametofautiana miezi tu na walifahamiana kabla snoop hajatoa album hata moja ila mpaka sasa hivi wanazeeshana.

Sasa kwa kijana mwenye miaka 30+ ambaye ndio kwanza kajipata akioa mmama mwenye miaka 30+ aliyekutana nae ukubwani akitegemea kwamba eti ataishi happily ever after.. huyo anajidanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…