Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Hayo masuala ya zamani na usasa ni ilusions zetu lakini binadamu ni wale wale na bioligical factors zetu ni zile zile.

Mwanaume wa miaka 30 na mwanamke wa miaka 20 iyo ndio psychological na biological gap sahihi kutengeneza bond katika masuala mengi sana.

Miaka 27-30 hapo akili haijapevuka sema hapo tayari ameshachezewa kiasi kwamba hakuna jipya tena kwake. Mwanamke aliepewa malezi mazuri miaka 20 tu tayari akili ishapevuka. Mnatakiwa kutofautisha damaged woman na matured woman
 
Ukweli mtupu buuuaanaa!

Ila unahitajika uendane na mipango mingi na mizito kumweka katika mstari huyo shem under 25.....
 
Jamaa unaongea ukweli mpaka unakeraaa ha ha ha kudos !!
 
Mimi naoa yoyote as long as ananipenda,ananiheshimu, sitooa umri
Tuna-share maarifa tu kulingana na uzoefu na shuhuda zetu, hatuwekeani sheria za kuishi. Mwisho wa siku kila mmoja atafanya maamuzi kwa mustakabali wa maisha yake, na kila mmoja atakababiliana na consequencies za maamuzi yake
 

Mimi naishia hapa, maelezo yako mengine atakuja kukujibu mtu ataejitolea kufanya ligi na wewe
 
Iite jina lolote, ilusions, vipaumbele, kuchezewa ila uhalisia ndo huo kuoa binti mdogo kuna risk zake pale anapoanza kufocus kwenye objective zake nje ya kumtunza mume na familia.

Kwa kusema hivyo sijasema vijana waoe mishangazi, ila waangalie na maturity ya huyo binti.

Sio unaoa binti akiwa 18 years anafika 21 anakuambia anahitaji kuwa na kampuni ya mitindo halafu uanze kung'aa macho.
 
Iite jina lolote, ilusions, vipaumbele, kuchezewa ila uhalisia ndo huo kuoa binti mdogo kuna risk zake pale anapoanza kufocus kwenye objective zake nje ya kumtunza mume na familia.
Unadhani Ata huyo mkubwa ana objective

Mimi. Mabinti under 25 wengi nao kukutana nao wengi wanasema wanataka wajenge wanunue gari, wawe na "liquidity" /ukwasi wa kutosha ndo waolewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…