Kijana wa Kiume kufanyiwa Graduation kubwa hadi kukodisha ukumbi

Kheee na wewe upo humu?
Binafsii sihudhurii birthday ya kukata keki. May be kitimoto na bia
Ila graduation nafanya sherehe, course work, test, presentation ue, hio muhimu....

Issue ya mtoto kuwa laini ni mzazi na sio sherehe!!
 
Kuna mambo hata kama huvunji Sheria ni mambo yakijinga..

Mwanume na ndevu zako unakaa mbele pale kama MISS TANZANIA unamulikwa na taa na camera za kutosha.!

Kwanza kitendo cha MWANUME kuwaza graduation yangu iwe hivi au iwe vile ni upumbavu.. WANAUME hatuishi hivyo. Ndio maana kila siku WANAUME tunazidi kupungua.
 
Issue ni mwanaume kifanya sherehe hasa kwa Tanzania ya sasa ambayo degree inekuwa kitu cha kawaida.
Shida umaskini degree eti za kawaida sababu nyingi hivyo eti hamna haja ya sherehe

Birthday mbona nyingi kuliko degree na watu wanafanya kila mwaka mtu yule yule kila mwaka anafanya birthday tena wengine kwenye kumbi kabisa

Tafuta hela
 
Watu kama wewe mna wivu wa kijinga sana aisee. Mtu anaweza kuwa kasoma Jordan na akawa na mchongo wa maana tu. Mwaka 2018 nilikuwa na mgahawa ambapo aliyekuwa anapika bites ni graduate wa Bcom UDSM.
Kukosa hela tatizo sana

Unafika hatua ya kutaka kuishi kwa

Kuwa pangia watu namna ya kuishi na

Kufanya

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…