Kijana wa kiume sipendi mpira wala masumbwi, je kuna shida?

Mimi pia, na sipendi kabisa kusikia story za mipira na pombe..kidogo nafuatilia siasa na mambo yangu sasa.
 
Hata mi Niko hivo na nafurahia tu,
Ila inabidi uwe na uwezo wa kiakili kidog usiwe mzembe totally
 
Hata mi Niko hivo na nafurahia tu,
Ila inabidi uwe na uwezo wa kiakili kidog usiwe mzembe totally
Akili bro si kilaza,,, im good lakin si kua n too smart no
Just average good kiasi cha kua siwezi onekana kilaza sehemu
 
Hata mm naishi maisha kama haya haya uliyotaja. Kimsingi, mm najikubali tu nilivo wala siamni kama kuna tatizo kuwa hivo.
Nilishawahi pia kukariri Wikipedia pages za timu na wachezaji mbalimbali ili tu niweze ku-fit in na age mates wangu... ila sasa.... kilichonikuta achaa.
ilifika muda nikasema nitakazana na vile nilivo... utofauti huo haupaswi kunifanya nijisikie kuwa tofauti.

niliji assess, sipendi kuwa na marafiki, naishi sawa tu
muda naokuwa na amani ni kipindi nikiwa zangu natazama movie au na-design graphics au nacheza games za missions, hapo ndio roho kwaatu! ila mipira sjui mieleka na ndondi. Hapana...
japo vitu vingi navijua kwa sababu niliwahi kusoma sanq kuhusu hayo... zamani
 
ha ha ha kwakweli kujaribu kufit in ni kazi

Ieleweke wazi tupo tofauti
 
Kwamba kipimo cha Uanaume ni kufuatilia kitu ambacho huna Interest nacho?

Kufatilia Mpira ama Ndondi zinaongeza nini kwenye Uanaume ama napungukiwa na nini nisipojishughulisha navyo?
 
Kwamba kipimo cha Uanaume ni kufuatilia kitu ambacho huna Interest nacho?

Kufatilia Mpira ama Ndondi zinaongeza nini kwenye Uanaume ama napungukiwa na nini nisipojishughulisha navyo?

hii kasumba huwa ipo mzee.
 
Hakuna shida yoyote mkuu! Kuna watu huwa mpo busy na maisha yenu... Kuna watu wamezaliwa kuwa watu flani wavumbuzi duniani starehe yao ni kuvumbua we timiza kusudi lako ulimwenguni pita watakuja wengine.
 
Me ni mpenzi wa mpira wa miguu
Nnapenda yanga
Naumia ikifungwa(sio kwa kuumia kwa kushindwa kula)
Mpira wa nje sina time nao
Ila sipitishi wiki sijatombrah
 
Kubwa
 
Ni kawaida mbona. Mimi binafsi siufeel mpira kivile..! Ila kuna michezo ambayo naipenda vibaya mno kama mbio za vyombo vya moto kama rally, isle of man TT, motoGP, formula 1. Pia ya ngumi napenda UFC na WWE(mieleka).
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.


Kwa hiyo acha kujishtukia, tafuta kitu moyo wako unapenda.
 
kwan kuna ubaya gani πŸ’

mathalani umesema hupendi hivyo vyote ulovitaja ila labda unapenda ibada, kahawa na kashata, kachori na pweza, draft au bao, kusoma vitabu na kuangalia movie, kuogelea , kuimba na tamthila n k mie naona ni sawa tu, kila mtu na hobie zake πŸ’
 
Sasa watu si wawlewa kama ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…