Kijana wa miaka 14 auawa kwa risasi akijaribu kumdunga kisu afisa wa polisi wa Israel

Ndo madhara ya kufundisha watoto jihad, chuki nk. Sasa malipo ndo hayo.
Sasa kuhusu bikra vipi dogo nae atapewa? Au ataambiwa wewe umri wako Bado???
Hivi wapalestina wana njia nyingine ya kupambana na Israel tofauti na Violence? Tofauti ya HAMAS na UMKHONTO WESIZWE ya Nelson Mandela ni ipi? Unakumbuka Rabbin alianzisha mchakato wa suluhu na Yasser Arafat chini ya Bill Clinton, nini kilimtokea? Ukielewa nini maana ya kudhulumiwa na ukawa huna njia ya kupata haki yako, utaelewa kuwa VIOLENCE IS A FAIR OPTION.
 
Kwani hicho kisu lengo nae si ilikuwa kuua!
Mwache nae aonje alichokuwa anatamani kukifanya!
 
Nime bold hiyo kauli niliyo bold ni utapeli kaka
 
Aiseeee! kijana mdogo kafa kwa upuuzi wake na kitabu kile cha shetani kimemponza.
 
Ndio maana askari wakitoka vitani wanakuaga na PTSD.
 
Kwenye vita, unaweza kusema ni mtoto kumbe kumbe kavaa vilipuzi, ukizingatia huko nyuma watoto walikuwa wanajitoa mhanga baada ya kushauliwa na magaidi, huyo mtoto alikuwa ametoa wapi hicho kisu? Hapo mashariki ya kati kiini kikuu cha mgogoro huo ni dini ya kiislam na dini ya kiyahudi, hayo mambo ya ardhi ni porojo tu, kwani waangeamua kuishi pamoja ingeshindikana? Palestine wanachokitaka hawawezi kukipata mpaka Yesu anarudi, kama walishindwa kutetea nchi yao miaka 1948- 1960 ambapo Israel ilikuwa na uchumi dhaifu na jeshi la kawaida, kwa sasa hawezi kuitoa Israel yenye air force bora duniani na silaha za nyuklia za kujilinda. Wapalestina wakikaza vichwa watamalizwa, natamani kuona viongozi wa hamasa wenye ujasiri waseme tunataka kuunda taifa moja la jamuhuri ya muungano wa Israel na Palestina.
 
Kwa bahati mbaya ama nzuri kwako wayahudi hawajawai kukuomba kuwa upande wao ama kutokuwa upande wao. Itoshe kusema unajiongelesha tu.
 
Wamekosea kumuua huyo mtoto
 
Bora umejiongeza
 
Kuishi pamoja na mazayuni ni kheri uishi pamoja na nguruwe unaweza ukawa na walau amani
 
Hao viongozi wa hamas akina yahya sinwar waliwekwa jela israel wakaachiwa sahizi wanawasumbua dawa ni kama aliyopewa huyo dogo tu maana ukicheka nao wao ndo wanakuua
 
Ndio maana hamas wanataka wawafyeke hawa magaidi wa kizayuni na wauaji

Hivi kijana mdogo kama huyu mtampa mabikira? Ina maana hao mabikira watapewa kwa vitoto pia au hadi ufikie umri gani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…