Kijana, Wapi uliteleza hadi kuharibikiwa kimaisha?

Hakuna kingine, starehe tu..

Mwenyezi Mungu anisamehe kwa kufuru nilizofanya, namuomba pia anifanyie wepesi nikae kwenye mstari na kuachana na haya maujinga yangu.

Sipendi kuyasema ili ni mambo magumu sana, kuna watu wakiyajua hata robo tu wataogopa sana, naamini Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema atanipa wepesi wakubadilika na kuyaacha haya, nafsi yangu inayajutia na kuna mahala binafsi najiogopa sana..
 

Hii kila siku nasema kama hapa nakojitafuta sitapata mwanamke baadae awe mke nikijipata sitaoa maisha yangu yote
 
very interesting
 
hili ni fundisho tosha chief
 
Hawa Viumbe ni hatari Sana.. hawanaga uvumilivu tunaishi nao basi tu japokua si wote
 
pole sana, wanawake wengi ni wabinafsi sana
 
Mahusiano.

TUnaoa kwasababu kuna mambo ya msingi anapaswa kufanya mke na sio demu wala hawara.
Tatzo la mke wangu ni moja tu, wivu unamtesa mno, najaribu kumuweka wazi kwa mambo mengi lakini bado hajawahi kuniamini hata kidogo.
Simu yangu ana uhuru nayo kila kona lakni haisaidii kujiiaminisha kwake.
TImbwili.
Mama yake mzazi alikuwa naumwa nikamruhusu akamuuguze mzaa chema alipofika Huko simu huku kwa majarini hazikomi, yani nikitoa mguu majiran macho kwangu. Akapewa story za uongo na kweli kuwa silali nyumbani wala sishindi hata siku za weekend yani kamezeshwa stori mbovu atari.

Alivyorudi na mimi nikawaka kidogo kama baba akatulia kidogo baada ya wiki moja hivi, timbwili likaanza. Nipo mezani nafunga siku yangu mara simu ikaiingia na ule mchoko alaf namba mpya nikapokea nikaweka loud huku naendelea na hesabu sasa mpgaji simu akaanza stori za mchana nimepiga simu hukupokea kwanini?

Nikamjibu nilikuwa bize sema unashida gan na ww ni nani?
Akasema alikuwa anamtafuta msela wake akidhani nilikuwa naye. Nikajibu inshort sikuwa naye mpigie kwenye simu yake then nikakata simu.
Mke akajua ni mchongo wee kesho yake nipo kazini nashangaa mtu anakuja na mtoto mara kamuacha mara huyoo kasepa nikaita naona meseji inasema: 'ukinikuta niite mbwa maisha mema.'

Ikabidi nivute pumzi ndefu na kazi nikafunga nikarudi nyumbani na mwanangu nikimpigia sm hapokei.

Usimuamini mwanamke utaishia pabaya.
 
daah hawa watu tumewakosea nini??
 
duuh
 
Vip mahusiano na mzazi mwenzio mpaka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…