DOKEZO Kijiji cha Kazuramimba (Uvinza, Kigoma): Mauaji yaliyofanywa 4/10/2023 ninayekemea kwa nguvu zote, Majeruhi wako wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
[emoji106]
 
Hofu ni msingi wa kila kitu.
Hata wachawi wana hofu mkuu japo mambo wanayoyafanya ni hatari.
Hata majambazi wanaofanya mauaji ya watu wengine wakifikia kwenye point of death lazima hofu iwatande
 
Actually ni mazingaombwe. Ila kwakua bongo tuna shida ya kueleweshana wakaripoti kama uchawi
Kwani mkuu mazingaombwe wewe huwa unayaonaje.
Ni uchawi ule sema ni ule unaotumiwa kwa manufaa na uzuri.
 
Tangulia kituo cha polisi popote karibu yako nikukute mwenyewe .
Mkidhani mnatawala wagonjwa wa akili hilo jambo linawezekana🤣


Sasa subiri siku tano za maumivu utakuja kusimulia hapa mkuu😆
 
Umeuliza swali zuri sana.
Angekuwa polisi angekimbia?
Angesimama ashambuliwe?

Je kama walijaribu kuwasihi wananchi watulie ikashindikana wangefanyaje?
 
Acha ujinga
 
Serikali hairogwi wewe usipoteze muda wako
Wenzake wa kabwe wilaya ya nkasi walijidanganya hivo hivo Ila unaelekea kukata mwezi sasa watu wanazidi kusota rumande na waliokufa waliShazikwa kijjn mambo yanaendelea kama kawa. Walipiga vitisho vingi Ila mwisho wa siku wananchi ndo wanabaki kua wahanga wakubwa.
 
Wanajihami kwa siraha za moto kutokana na wananchi wenye hasira kali
 
Hapo police wangewefyeka tu utamtambuaje mchawi kwa kukuangalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…