DOKEZO Kijiji cha Kazuramimba (Uvinza, Kigoma): Mauaji yaliyofanywa 4/10/2023 ninayekemea kwa nguvu zote, Majeruhi wako wapi?

DOKEZO Kijiji cha Kazuramimba (Uvinza, Kigoma): Mauaji yaliyofanywa 4/10/2023 ninayekemea kwa nguvu zote, Majeruhi wako wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hapa mambo yasiwe mengi, huyo mchawi aendelee kuishi polisi. Akirudi mtaani wahuni wataishi nae tu. Haiwezekani utese watoto wa wenzako halafu ubakie salama.

Uchawi hauna udhibitisho ila haimaanishi kwamba haupo. Swala la kuamini upo au haupo bado inabakia kuwa hiari ya mtu binafsi.
[emoji106]
 
Sasa hukumu ya mchawi itatolewaje na mamlaka ambayo haiamini uchawi? Hio inatolewa na magwiji wa uchawi ambao wanamtambua mchawi huyo ambao ndio hao kamchape na sio kuwa wanawaua ila wanawavua vyeo tu. Sasa kama sio mchawi anaogopa vipi kuvuliwa vyeo?
Hofu ni msingi wa kila kitu.
Hata wachawi wana hofu mkuu japo mambo wanayoyafanya ni hatari.
Hata majambazi wanaofanya mauaji ya watu wengine wakifikia kwenye point of death lazima hofu iwatande
 
Actually ni mazingaombwe. Ila kwakua bongo tuna shida ya kueleweshana wakaripoti kama uchawi
Kwani mkuu mazingaombwe wewe huwa unayaonaje.
Ni uchawi ule sema ni ule unaotumiwa kwa manufaa na uzuri.
 
Pole sana mkuu!

JAPO najiuliza UNGEKUA upande wa polisi ungefanyaje!!?


Zaidi ya kutuliza ghasia!!?

Chamsingi polisi warudishe majeruhi na hao watu waliokamatwa wajulikane walipo na wanatuhumiwa KWA kosa GANI HASA!!!

Operation kamchape mara nyingi huleta mixed feelings KWA wengi!sio za kuendekeza operation hizi!!
Umeuliza swali zuri sana.
Angekuwa polisi angekimbia?
Angesimama ashambuliwe?

Je kama walijaribu kuwasihi wananchi watulie ikashindikana wangefanyaje?
 
Km wapo ngoja wanyooshwe. Wachawi na washirikina ni adui wa maendeleo. Kumjua ni rahisi km na wao wanavyodhuru watu kirahisi. Sema hawa watu kabla hawajagusa familia yako huwezi kuamini ila viashiria vya kifo chenye utata vikiikumba familia yako hata imani yako utaiweka pembeni.
Acha ujinga
 
Serikali hairogwi wewe usipoteze muda wako
Wenzake wa kabwe wilaya ya nkasi walijidanganya hivo hivo Ila unaelekea kukata mwezi sasa watu wanazidi kusota rumande na waliokufa waliShazikwa kijjn mambo yanaendelea kama kawa. Walipiga vitisho vingi Ila mwisho wa siku wananchi ndo wanabaki kua wahanga wakubwa.
 
Wanajihami kwa siraha za moto kutokana na wananchi wenye hasira kali
 
Hapo police wangewefyeka tu utamtambuaje mchawi kwa kukuangalia
 
Back
Top Bottom