Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji106]Hapa mambo yasiwe mengi, huyo mchawi aendelee kuishi polisi. Akirudi mtaani wahuni wataishi nae tu. Haiwezekani utese watoto wa wenzako halafu ubakie salama.
Uchawi hauna udhibitisho ila haimaanishi kwamba haupo. Swala la kuamini upo au haupo bado inabakia kuwa hiari ya mtu binafsi.